Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Hiyo ni kiki ya kisiasa kaipanga mwenyeweHuyu hana mume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kiki ya kisiasa kaipanga mwenyeweHuyu hana mume?
Trump na Dunia Wana uhakika kwamba Baiden atashindwa vibaya sana. Haya maigizo ya hatari yalitaka nini??
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa sikio la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni
Bado haijajulika nani alifyatua risasi.
Update 1
Mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzungukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.
Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Update 2
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.
Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.
Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na Taifa.
Update
Mmarekani Mathew Thomas Cook mwenye miaka 20 ndio aliyemshambulia Trump kwa rifle kabla na yeye kuuwawa na walinzi
Anga la Pennyslivenia la limefungwa hakuna ndege inayoruhusiwa kutua wala kupaa
Rais Joe Biden amempigia simu mshindani wake na kumtakia apone haraka huku akisema hali hii haitakiwi kutokea nchni Marekani
Salamu za pole some toka
Italy kwa waziri mkuu Goeg malon , waziri mkuu wa Uingereza Stamar , waziri mkuu wa Japan Kishida,Rais wa Ufaransa makroon , Chancellor wa Ujerumani, waziri mkuu wa Canada,na n.k
Palina
=====
Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard
Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.
Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.
“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.
The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.
In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.
The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.
Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.
Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."
Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.
“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."
Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.
"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."
In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".
"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.
Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".
Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
Huyo Biden mwenye kipawa mbona amefeli kila kituHuwezi kuweka Ikulu mtu kama Trump ambae hana kipawa cha Madaraka (HEKIMA)
Shooter hakuwa ndani ya ''uwanja'', alikuwa nje kwenye ' rooftop'
swali ni kwamba katika maeneo yanayoangaliwa sana ni 'rooftops' za majengo, kwanini secret service hawakuliona hilo. Shooter alitaka kufanya ile ya JF Kennedy.
Nawasoma wachangiaji na kuwatahadhrisha siasa za Marekani si rahisi kihivyo.
Kesho mnaweza kuamka na habari tofauti. Wekeni akiba ya maneno. Ngoja nitulie kwanza
Unawajua silent majority wewe?Wapo wengi sana
View attachment 3042096
Ni vigumu sana kwa Republican kushinda kwa silent majority. Majority ya Wamarekani ni Democrats, kinachowasaidia zaidi Republicans ni electoral college.Unawajua silent majority wewe?
Wewe umezijuaje hizo siri??Ni mambo nyeti sana ambayo huwa hayazungumzwi hovyo. Najua unanijaribu na kunidodosa... Anyways!
Dunia hii uionavyo kwa nje sivyo ilivyo ndani... Kuna siri nyingi kubwakubwa na za kutisha ambazo siku ukizijua utaomba zako ukajipumzikie, na utaichukia. Ni kama nyumba, inaweza nje ikawa na maduka, vijiwe, pitapita za watu na shangwe za hapa na pale mpaka ukavutiwa na eneo hilo... Ingia ndani uone machozi na damu, migogoro na magomvi. Ndo ule msemo (kuta zinaficha mengi) ni kama huu ulimwengu tunaoishi.
Chakata akili yako.
Kitu gani kimojawapo alichofeli?Huyo Biden mwenye kipawa mbona amefeli kila kitu
Akili za kuazima kutoka FoxHawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Bill Clinton aliwaonya ''silent majority' kwamba demography ya US inabadilika kwa kasiNi vigumu sana kwa Republican kushinda kwa silent majority. Majority ya Wamarekani ni Democrats, kinachowasaidia zaidi Republicans ni electoral college.
Wazazi wake ni Democrats!Niliwaambia watu waweke akiba ya maneno! siasa za Marekani si za kudandia
Watu waliosema ni 'Left' kwa maana ya Democrats nyuso zao ziko wapi asubuhi hii
Shooter anaitwa Thomas Matthew Crooks, ni Mzungu na 'registered Republicans''
Amechangia Kikundi cha Progressive cha Democrats Dollar 15/=
Hakuna anayejua motive yake hadi sasa lakini FBI nina uhakika watachimba na kujua.
Nasisitiza wekeni akiba ya maneno! msidandie treni kwa mbele. USA siasa zake ni habari nyingine
Sahihi, ni political gamble kubwa sana kwa Democrats kumpa Biden nafasi ya kugombea kipindi hiki. Inaweza kugeuka miscalculation itakayowagharimu vibaya.Tatizo la Dem hasa kipindi hiki ni mgombea Biden. Tangu anatangaza nilishangaa sana
Ni Mzee Sana na hana uwezo wa siasa za leo. Waliomlinda ni akina Jimmy Clyburn.
Biden hana mvuto kabisa, debate iliyopita alishindwa kwasababu hana uwezo '' mental acuity'
Haijathibitika ni habari za FOX, lakini pia ikiwa Wazazi ni Dems, ni lazima huyo kijana awe hivyo?Wazazi wake ni Democrats!
Ametoa dollar 15/= kwa progressive dems. Kuna nyingine?Angalia political donations zake halafu uje hapa ali donate wapi!
Hili si la maana lakini la wazazi wake kuwa dems ni la maana. Hivi leo angekuwa registered dems ungesema niniKwamba yeye ni registered Republican, that doesn’t mean shit.
Possibly na inawezekana alikuwa 'Republican kiulweli' hatuna detailsInawezekana kabisa alijiandikisha hivyo ili aweze kupiga kura kwenye Republican primary na apige kura dhidi ya Trump!
Kwa hiyo ya wazazi wake kuwa ni Democrats haijathibitika ila yeye kuwa registered Republican imethibitika? 🤣🤣Haijathibitika ni habari za FOX, lakini pia ikiwa Wazazi ni Dems, ni lazima huyo kijana awe hivyo!
Ametoa dollar 15/= kwa progressive dems. Kuna nyingine?
Hili si la maana lakini la wazazi wake kuwa dems ni la maana. Hivi leo angekuwa rgistered dems ungesema nini
Possibly na inawezekana alikuwa 'Republican kiulweli' hatuna details
Ndio maana naisisitiza watu wavute pumzi! FBI wanafanya kazi
Vipi kama ni far rights Republicans aina ya Alex Jones au waliokuwa brainwashed naye wanaotamani civil war ?Wazazi wake ni Democrats!
Angalia political donations zake halafu uje hapa ali donate wapi!
Kwamba yeye ni registered Republican, that doesn’t mean shit.
Inawezekana kabisa alijiandikisha hivyo ili aweze kupiga kura kwenye Republican primary na apige kura dhidi ya Trump!
Kwani bongo kuna uchaguzi au maigizo tu!Mbona lisu hamkumpa kura za huruma
USSR
Ok, sawa. Ni far right Republicans.Vipi kama ni far rights Republicans aina ya Alex Jones au waliokuwa brainwashed naye wanaotamani civil war ?View attachment 3042517
Sio kweli, mbona polls zinasuggest otherwise. Pia ni uongo kusema Democrats ni wengi kisa electoral college mbona Congress ipo dominated na republicansNi vigumu sana kwa Republican kushinda kwa silent majority. Majority ya Wamarekani ni Democrats, kinachowasaidia zaidi Republicans ni electoral college.
Kwa hiyo ya wazazi wake kuwa ni Democrats haijathibitika ila yeye kuwa registered Republican imethibitika? 🤣🤣
Talking points za MSNBC hizo and you’re nothing but a shill 🤣.