Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Human nature.Siasa za Marekani sasa zinaanza kufuata njia za bara la Afrika.
Walitubeza kiasi cha kutosha, nao wanaingia kwenye aibu.
na wapo kibao nasikilizaga jumbe zao nabaki kucheka sana sijui wanajikuta nani aseeNyie ndio wale Watanzania mnaotuma Sms Radio Deutsche Welle idhaa ya kiswahili mkiishauri Serikalu ya Marekani?
Ety sisi ndo tunawasih marekan 🥴🥴🥴Kufuatia kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Marekani hasa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu tunawasihi wamarekani kumaliza tofauti zao kwa njia za amani.
Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa! Kuna matatizo mengi sana hapa tz, yeye kiherehere na Marekani!!!Kwa matatizo lukuki tuliyonayo sisi hapa Tanzania yanayosababishwa na watawala hasa awamu ya sita ni Bora ukawashauri watanzania namna ya kujikwamua kiuchumi kuliko kukimbilia ya marekani
Hii walilenga kumuua kabisa aiseeNafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Duh nimecheka aisee🙌🤣🤣🤣🤣Nyie ndio wale Watanzania mnaotuma Sms Radio Deutsche Welle idhaa ya kiswahili mkiishauri Serikali ya Marekani?
Inaitwa na nani?.The US is such a lying entity,na ndio maana inaitwa the "Empire of Lies."
Nimefika Philadelphia, Pennsylvania nikapita New York na kwenda hadi Boston, Massachusetts na kurudi tena hadi Philadelphia, Pennsylvania.Wewe unayoijua Marekani umeenda lini huko? au kutizama Movies zao hapo kwa Shemeji yako Sebuleni ndiyo kwenda?
Hivi Dems wameishiwa wagombea kabisa mpaka huyo Mzee ndio awe mgombea wao ? Au wagombea wengine (ikiwemo Hillary) hawana uhakika kama wanaweza kumshinda Trump ?Tatizo la Dem hasa kipindi hiki ni mgombea Biden. Tangu anatangaza nilishangaa sana
Ni Mzee Sana na hana uwezo wa siasa za leo. Waliomlinda ni akina Jimmy Clyburn.
Biden hana mvuto kabisa, debate iliyopita alishindwa kwasababu hana uwezo '' mental acuity'
Labda Marekani ya Tandale, Mwananyamala na Tegeta Nyuki.Nimefika Philadelphia, Pennsylvania nikapita New York na kwenda hadi Boston, Massachusetts na kurudi tena hadi Philadelphia, Pennsylvania.
Pia nimeenda Washington DC kupitia Baltimore, MD na kurejea tena Philadelphia, Pennsylvania.
Nimetoka tena Philadelphia, Pennsylvania nikaenda hadi Cleveland, Ohio kupitia Pittsburg, Pennsylvania na kurudi tena Philadelphia, Pennsylvania.
Hivyo huna cha kuniambia wewe.
🤣🤣🤣Inaitwa na nani?
Mkuu haters wananuna walegezee chief. Mashabiki wa kobazi wazembe hatari.Nimefika Philadelphia, Pennsylvania nikapita New York na kwenda hadi Boston, Massachusetts na kurudi tena hadi Philadelphia, Pennsylvania.
Pia nimeenda Washington DC kupitia Baltimore, MD na kurejea tena Philadelphia, Pennsylvania.
Nimetoka tena Philadelphia, Pennsylvania nikaenda hadi Cleveland, Ohio kupitia Pittsburg, Pennsylvania na kurudi tena Philadelphia, Pennsylvania.
Hivyo huna cha kuniambia wewe.
Sasa sijui wavaa kobazi tuna kosa gani hapa. Au ngoja niangalie vizuri isije kuwa Thomas Matthew Crooks ni muarabu muislam.Mkuu haters wananuna walegezee chief. Mashabiki wa kobazi wazembe hatari.
Wavaa kobazi wa mbogo mkuu, hawapendi watu waende USA. Wanamtetea Trump aliyewakataza kuingia States mkuu.Sasa sijui wavaa kobazi tuna kosa gani hapa? Au ngoja niangalie vizuri isije kuwa Thomas Matthew Crooks ni muarabu muislam.
Mkuu kwa matukio kama haya ..ndo utajua watu wana uwezo mdogo wa kufikiri.... Eti Igizo... Yani trump akubali kifanya Igizo apigwe risasi ya sikio kutoka umbali wa 120m ... ...... Imagine ilipungua 1.5 cm tu risasi ifumue ubongo ....Ila akili za watu wengine bana!
Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?
Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
Acha uongo, unadhani kuna nchi gani kipindi cha covid iliongeza ajira?
Biden ni failure, Trump will trounce him come november