Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Sio kweli, mbona polls zinasuggest otherwise. Pia ni uongo kusema Democrats ni wengi kisa electoral college mbona Congress ipo dominated na republicans
Kwa miaka 22 tangu mwaka 1992 Marekani imekuwa na chaguzi 8 za Urais, katika chaguzi zote hizo ni mara moja tu mgombea wa urais wa Republicans ameshinda majority kwa popular vote tena kwa kura chache. Pia marais wawili wa Marekani waliongia madarakani katika kipindi hiki(Bush Jr. na Trump) wameingia kwa mlango wa electoral college wakiwa wamepoteza popular vote kwa majority.
 
Sio kweli, mbona polls zinasuggest otherwise. Pia ni uongo kusema Democrats ni wengi kisa electoral college mbona Congress ipo dominated na republicans
Kwenye chaguzi za Congress muitiko wa wapiga kura huwa mdogo kuliko katika urais, pia voter suppression kupitia gerrymandering imekuwa na faida zaidi kwa Republicans.
 
Wewe inaonekana hauijui Marekani. Marekani sio Tanzania ambapo rais ndiye Mungu mtu hata akiamua kuuza mlima Kilimanjaro watu wote watashangilia na kumtungia nyimbo.

Marekani rais akienda kinyume na maslahi mapana ya nchi bunge zima (Congress) linakuwa kitu kimoja na linaweza kumuondoa madarakani mara moja.

Hivyo Tramp akiwa rais tena asifikiri ataweza kuigeuza Marekani farasi na yeye mwendeshaji, hilo halipo kwa taifa kubwa kama Marekani hilo ni kwa akina Tanzania, Russia nk.
Wewe unayoijua Marekani umeenda lini huko? au kutizama Movies zao hapo kwa Shemeji yako Sebuleni ndiyo kwenda?
 
Kwenye chaguzi za Congress muitiko wa wapiga kura huwa mdogo kuliko katika urais, pia voter suppression kupitia gerrymandering imekuwa na faida zaidi kwa Republicans.
Na pia anaposema '' congress'' inakuwa dominated na Republicans si kweli. Nancy Pelosi alikuwa Speaker, sasa hivi Senate ni Chuck Schumer. Nadhani hajaelewa kwamba congress ina sehemu mbili, Senate na House.
Congress inabadilika kutokana na matokeo ya general na midterm. Kusema kuna ''dominate' sijamuelewa
 
Sahihi, ni political gamble kubwa sana kwa Democrats kumpa Biden nafasi ya kugombea kipindi hiki. Inaweza kugeuka miscalculation itakayowagharimu vibaya.
Mwaka 2020 Biden alisema ni 'transional leader'' Dems wakajua ataachia ngazi mwenyewe.
Watu wengi na poll nyingi sana zilionyesha watu kuwa na tatizo na umri wake

Watu waliokuwa nyuma yake ni akina Jimmy Clyburn na ambaye ana infuence sana kwasababu ya kumrudisha Biden katika Primairies 2020 na kushinda. Huyu ni 'Washington Establishment''

Hata primary ya mwaka huu ilikosa msisimko na kila poll ilionyesha tatizo ni umri.

Ile debate Trump hakushinda kwasababu hakuwa na sera ya chochote, lakini Biden alishindwa ! ni sawa na goli lisilo na golkipa anashindwa kufunga. Trump alikuwa vulnerable , Biden aka jiuma uma tu! hilo likaamsha hisia he is old. Hisia zilikuwepo walichotaka watu ni 'proof'' na ipo kwamba Biden kachoka

Tatizo kwa Dems, nani atabeba bendera. Kamala ana makando kando yake hawezi kuchaguliwa.
Ikiwa Hillary hakuchaguliwa haiwezekani kwa Kamala. Ipo wazi kabisa.

Wengine wakijitokeza itaonekana Kamala katoswa kwa rangi, kumbuka hawa '' black congressional '' wana nguvu sana ndani ya Dems

Dems wapo katika mkanganyiko mkubwa sana kwasababu ya king'ang'anizi Biden! Sijui anataka nini.
 
Hatuangalii kufeli, Hakuna rais duniani ataleta maisha bora, Bora zimwi likujualo, Hekima ndani ya ikulu ni bora

Ukiangalia kwenye Uchumi kipindi cha Trump alivunja record for "Uneployment" ilikua 14% angalia sasa hivi ipo ngapi
Ni wakati gani katika kipindi cha Trump ambapo unemployment rate ilikuwa 14%??
 
Hawawezi kumshinda kwa kura!

Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.

Sasa wanataka kumuua!

Democraps.
Hahaha mbona wanasema aliyempiga ni Republican mwenzake?

Hao Democrap unawaonea tu, kwasababu ndio upande wa pili lakini hakuna ushahidi wowote kwamba wana husika. Na isitoshe wapo wa huko huko Republican wanaoamini Trumpet anatafuta kura za huruma.

Lakini kwa mtizamo wangu bado sioni kama kuna uwezekano wa wa Trumpet kushinda.
 
Wazazi wake ni registered Democrats.

Yeye kuwa registered Republican haimaanishi chochote.

Yawezekana alijiandikisha hivyo ili kupoteza lengo.

Maana kama wazazi wake ni Democrats. Na yeye mwenyewe aliwachangia hela Democrats, uwezekano ni mkubwa sana alijindikisha ili kupoteza lengo.
 
Alijiandikisha lini? na kuhama chama pia inawezekana tu, Hata Trump mwenyewe huko alihamia tu alikuwa Democrat miaka yote.

Tuki rudi kwenye hoja, mimi sidhani kwamba mapenzi ya chama inafuata wazazi? Inawezekana lakini kwa huyo nimesoma wanasema ni republican, sasa hiyo michango yake sijui kama inamfanya awe Democrat.

Mbona hawa matajiri nasikia huwa wana toa pote pote pia? nitakwa la kisheria au ni mapenzi ya mtu?
 
Sijui alijiandikisha lini.

Labda si muda mrefu uliopita maana kulikuwa na primaries juzi juzi tu hapa.

Kwa chuki alizokuwa nazo kwa Trump, yawezekana alijiandikisha ili aweze kupiga kura dhidi ya Trump kwenye Republican primary.

Kuhusu mapenzi ya chama na wazazi, wazazi wana influence kubwa sana kwa watoto wao.

Mara nyingi chama wanachokiunga mkono wazazi, watoto nao hukiunga chama hicho hicho.

Huyu dogo alikuwa na miaka 20 tu. Alikuwa bado mtoto kabisa.

Hata bunduki aliyoitumia ilinunuliwa na baba yake, ambaye ni Democrat.
 
Una elimu gani?

Siongei kwa kukurupuka, nasoma sana na nina exposure! Nimesafiri na najuana na watu. Unadhani sisi ni kama nyinyi vijana wa 90 na 2000 kutwa instagram kutazama matako na habari za wasanii wenu wanaoishi maisha fake au YouTube kutazama nyimbo mpya, wenyewe mnaita vichupa 😂

Eti bwamdogo?! Anyways!... Mtafute na umsome mtu anaitwa "Marilyn Monroe"
Wewe ni nawe !.

Huna jipya!

Umejaa maconsiperacies kichwani

Wewe na Mathanzua hamuna tofauti
 
Sijui alijiandikisha lini.

Labda si muda mrefu uliopita maana kulikuwa na primaries juzi juzi tu hapa.

Kwa chuki alizokuwa nazo kwa Trump, yawezekana alijiandikisha ili aweze kupiga kura dhidi ya Trump kwenye Republican primary.

Kuhusu mapenzi ya chama na wazazi, wazazi wana influence kubwa sana kwa watoto wao.

Mara nyingi chama wanachokiunga mkono wazazi, watoto nao hukiunga chama hicho hicho.

Huyu dogo alikuwa na miaka 20 tu. Alikuwa bado mtoto kabisa.

Hata bunduki aliyoitumia ilinunuliwa na baba yake, ambaye ni Democrat.
Sawa inawezekana, lakini hili tukio kwa hisia zangu ni la kupangwa. Ukiangalia Sniper na spotter wake walikuwa wanajiandaa ku shoot hata kabla huyo jamaa haja mshoot Trump, yani ni kama walifahamu alitaka kufanya nini, pia kuna video humu inaonyesha watu wamemzingira shooter wana mnyooshea vidole na kusema "he is crawling, and he has a gun" na unaona polisi wanatembea na kuzunguka tu bila kuonyesha wasiwasi wowote, na kuna video nyingine humu JF inaonyesha yule jamaa shahidi aliye kuwa akipiga kelele kuwaambia polisi na hao SS kwamba kuna mtu anabunduki anapanda juu ya paa, hawakuonyesha kushtuka wala kuchukua hatua.

Pia kuna member kaweka video ya Ronald Regan alivyopigwa risasi reaction ya secret service, ukilinganisha na hii ya Don Trump, ambao baada ya kupigwa risasi wanakubaliana na Don Trump asimame apige picha ya kishujaa.

Walijuaje kama kuna shooter mmoja tu?

Na kwanini wamuachie apige picha badala ya kumlinda kwa kumzingira na kumkimbiza kwenye usalama?

walijuaje kwamba haja umia maana hata majeruhi wa ajali huwa unabebwa na kukimbizwa hospitali bila kujali umeumia kiasi gani, na unaruhusiwa na daktari baada ya kuangaliwa na kuonekana hukuumia.

Na walijuaje kwamba kuna shooter mmoja tu?

Huyu ni rais mstaafu na mgombea wa urais ilikuwaje waanze kujadili na Trump(victim) badala ya wao kufanya kazi za ulinzi?

Hii bongo Movie kabisa, amabapo tunaona jambazi anapiga hodi na anavua viatu mlangoni.
 
Kwa hizo conspiracy theories, nasema au revoir!

Yaani dogo alikubali kushiriki kwenye tukio ambalo ataishia kupigwa risasi ya kichwa na kufa!

Na firefighter aliyekufa naye alikubali kushiriki kwenye hilo tukio la kupangwa, akapigwa risasi na kufa mbele ya mkewe na binti yake!

Na Trump naye alikubali kushiriki tukio la kupangwa ambalo atakoswa koswa na risasi halafu naye akakubali!

Na secret service wote waliokuwepo nao walikubali kushiriki kwenye hiyo tamthilia!!

Well, on that note, nami naiuza Trump Tower kwa shilingi laki moja tu 🤣.

✌️.
 
Kwa mtizamo wangu walipanga, hivyo vifo ni ajali kazini tu. Hujawahi kuona mipango haiendi kama ilivyopangwa?
 
Back
Top Bottom