Hahaha hiyo yako sasa, lakini tunaweza kumaliza mjadala hivyo kwa kukubaliana kutokukubaliana kwenye hili.Sawa.
Hata Tupac yupo hai anaishi Cuba.
Sitaki kushinda, lakini moyo wangu hautaki kuamini kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hiyo yako sasa, lakini tunaweza kumaliza mjadala hivyo kwa kukubaliana kutokukubaliana kwenye hili.Sawa.
Hata Tupac yupo hai anaishi Cuba.
Wazazi wake ni registered Democrats.
Yeye kuwa registered Republican haimaanishi chochote.
Yawezekana alijiandikisha hivyo ili kupoteza lengo.
Maana kama wazazi wake ni Democrats. Na yeye mwenyewe aliwachangia hela Democrats, uwezekano ni mkubwa sana alijindikisha ili kupoteza lengo.
SahihiAlijiandikisha lini? na kuhama chama pia inawezekana tu, Hata Trump mwenyewe huko alihamia tu alikuwa Democrat miaka yote.
Tuki rudi kwenye hoja, mimi sidhani kwamba mapenzi ya chama inafuata wazazi? Inawezekana lakini kwa huyo nimesoma wanasema ni republican, sasa hiyo michango yake sijui kama inamfanya awe Democrat.
Mbona hawa matajiri nasikia huwa wana toa pote pote pia? nitakwa la kisheria au ni mapenzi ya mtu?
Another Democrap deflection!
Acha uongo, unadhani kuna nchi gani kipindi cha covid iliongeza ajira?Ukiangalia kwenye Uchumi kipindi cha Trump alivunja record for "Uneployment" ilikua 14% angalia sasa hivi ipo ngapi
Whatever, call it house of representatives Republicans ni majority. So sio kweli kwamba republicans wanategemea mfumo wa kura za urais ndio washindeNa pia anaposema '' congress'' inakuwa dominated na Republicans si kweli. Nancy Pelosi alikuwa Speaker, sasa hivi Senate ni Chuck Schumer. Nadhani hajaelewa kwamba congress ina sehemu mbili, Senate na House.
Congress inabadilika kutokana na matokeo ya general na midterm. Kusema kuna ''dominate' sijamuelewa
Unafaham mfumo wa ''electoral college' unavyofanya kazi?Whatever, call it house of representatives Republicans ni majority. So sio kweli kwamba republicans wanategemea mfumo wa kura za urais ndio washinde
Ndio point yangu hasa, kwamba kama ana wabunge wengi why aseme republicans wanaweza shida urais pekee kisa hizo electoral votes.Yes kwasasa house ipo kwa GOP lakini hiyo hubadilika kutegemea uchaguzi hasa midterm
Naufaham sana tu hizo proportions kama zina wa favor republicans how comes most time rais anabadilika from Democrats to republicans and vice versa. Urais unaamuliwa na swing states not otherwiseUnafaham mfumo wa ''electoral college' unavyofanya kazi?
USAIDMpo bize sana na nchi isiyowatambua, wao hawana time na sisi, marekani weusi wameuawa huko kwao ila mmpo tu nyuma yao kuwasapoti kwa maujinga yao.
Umeelewa hoja nayopinga? Yule kasema republicans hushinda urais kisa hizo electoral college votes ila hawana wafuasi.Hakuna uhusiano kati ya 'electoral college' na viti katika house. Electoral college in viti 270 , House in reps 420.
Na senate ina 100. Just FYI
Wewe unauhakika gani kwamba ulichosikia kwenye MSM ni kweli?Si ajabu ulikwenda kwa Babu wa Loliondo "ukakipiga" kikombe na ulichanjwa C-19 vaccine wewe, maana unaonekana ni mjinga kweli kweli. So unaamini tu chochote ulichoambiwa,mm,huo ni ujinga.Mtu mwenye akili kubwa haamini amini tu mambo,anaya hoji.Kwa mtizamo wangu kuamini anything out of the US is synonymous to believing the Devil.The US is such a lying entity,na ndio maana inaitwa the "Empire of Lies."
Wewe kama nani!!?Kufuatia kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Marekani hasa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu tunawasihi wamarekani kumaliza tofauti zao kwa njia za amani. Tutatuma timu ya uchunguzi ili kujua kwa kina kinachoendelea. Watanzania wote waliopo Marekani wanashauriwa wawe karibu kimawasiliano na ubalozi wao ili kujua kinachoendelea. Tunawasihi watanzania wote wenye safari za kuelekea Marekani kuahirisha kwa muda huu hadi pale hali ya kiusalama itakapotengemaa.
View attachment 3042771
Nimeipenda hii! Maana wao huwa ni mahodari wa kutoa statement kama hiziKufuatia kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Marekani hasa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu tunawasihi wamarekani kumaliza tofauti zao kwa njia za amani. Tutatuma timu ya uchunguzi ili kujua kwa kina kinachoendelea. Watanzania wote waliopo Marekani wanashauriwa wawe karibu kimawasiliano na ubalozi wao ili kujua kinachoendelea. Tunawasihi watanzania wote wenye safari za kuelekea Marekani kuahirisha kwa muda huu hadi pale hali ya kiusalama itakapotengemaa.
View attachment 3042771