Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Watanzania tunaoishi Marekani tunaishukuru serikali kupitia ubalozi wake hapa Washington DC kwa kujali usalama wetu .
 
Kwa matatizo lukuki tuliyonayo sisi hapa Tanzania yanayosababishwa na watawala hasa awamu ya sita ni Bora ukawashauri watanzania namna ya kujikwamua kiuchumi kuliko kukimbilia ya marekani
Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa! Kuna matatizo mengi sana hapa tz, yeye kiherehere na Marekani!!!
 
Wazazi wana kesi kubwa sana ya kujibu mbele za Mungu.Wanaamini ujinga,halafu wanawapoteza watoto.Hata kwenye mambo ya kiroho hali ndio hiyo hiyo,tena worse. Unapokuwa mtu mzima unatakiwa ku-develop your own density,unless destiny ya wazazi wako is okay.
 
Wewe unayoijua Marekani umeenda lini huko? au kutizama Movies zao hapo kwa Shemeji yako Sebuleni ndiyo kwenda?
Nimefika Philadelphia, Pennsylvania nikapita New York na kwenda hadi Boston, Massachusetts na kurudi tena hadi Philadelphia, Pennsylvania.

Pia nimeenda Washington DC kupitia Baltimore, MD na kurejea tena Philadelphia, Pennsylvania.

Nimetoka tena Philadelphia, Pennsylvania nikaenda hadi Cleveland, Ohio kupitia Pittsburg, Pennsylvania na kurudi tena Philadelphia, Pennsylvania.

Hivyo huna cha kuniambia wewe.
 
Hivi Dems wameishiwa wagombea kabisa mpaka huyo Mzee ndio awe mgombea wao ? Au wagombea wengine (ikiwemo Hillary) hawana uhakika kama wanaweza kumshinda Trump ?
 
Labda Marekani ya Tandale, Mwananyamala na Tegeta Nyuki.
 
Mkuu haters wananuna walegezee chief. Mashabiki wa kobazi wazembe hatari.
 
Ila akili za watu wengine bana!

Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?

Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
Mkuu kwa matukio kama haya ..ndo utajua watu wana uwezo mdogo wa kufikiri.... Eti Igizo... Yani trump akubali kifanya Igizo apigwe risasi ya sikio kutoka umbali wa 120m ... ...... Imagine ilipungua 1.5 cm tu risasi ifumue ubongo ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…