Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Ila uhusiano wake na Putin ni janga kwa Dunia Kama akiingia ikulu ya white house na juzi Putin kasema ana mpango wa kuanzisha WW 3 nadhani kakosa company so kwa hili la Trump tuombe Mungu Biden ashinde mengine tuwaachie Us wenyewe
Nonsense.
 
Heavy guns (Rifles) ww unajua ni zipi..? Tuanzie hapo.. au umekariri RPG na madude mengine mnayoona ktk movie za Rambo 😅
Mkuu comment niliyo quote ilisema angetumia bunduki yenye uwezo mkubwa zaidi kwa maana kwamba atumie automated machine gun ambayo risasi zake zitaweza kupenya miili ya wale Secret Service waliokuwa wamemkinga Trump. Ndio maana nikasema sio rahisi hivyo kwa sababu gauss rifle kama aliyokuwa nayo yule shooter haina uwezo huo, lakini machine guns zenye uwezo ule kwa USA ni prohibited pia.
 
BREAKING: ALLEGED SHOOTER IN TRUMP ASSASSINATION ATTEMPT DECEASED


The shooter who attempted to assassinate former Trump at a campaign rally in Pennsylvania today is reported to be deceased, according to law enforcement
Alitakiwa atoe taarifa ya nini kipo nyuma ya pazia
 
Risasi ya iliyompata sikioni bila shaka ililenga kichwa
Screenshot_20240714-084126_X.jpg
 
Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Kawatukana lini na wapi? Zile zilikua fake news za hizo western media. Leta hapa video from credible source yenye hayo matusi kwa "Africa".
 
USA ni taifa la fujo. Uhuru wao waliupata kwa fujo na maisha wanayoishi yamejaa fujo.

Donald Trump sio wa kwanza kushambuliwa kwa risasi na sio wa mwisho.

Orodha ya Marais wa Marekani waliouawa kwa risasi:
  • Abraham Lincoln
  • James Garfield
  • William McKinley
  • John F Kennedy

USA ni taifa lililojaa mauaji. Mfano kwenye jiji la Chicago kila mwaka kuna zaidi ya watu 500 wanauawa kwa kupigwa risasi. This is insane!
 
Back
Top Bottom