Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
Hivi hata ulaya kuna mercy votesKama akinusurika na hili shambulio, naona akienda kupata kura za huruma kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Kupitia hili tukio, niseme wamempiga chura teke bila kujua wanamuongezea mwendo.