matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Tanzania isiwe shamba la bibi walio sababishwa haya bila kujali ni akina wawajibishwe iwe fundisho kwa walioko madarakani wanaodhani inchi ni mali yaoInatakiwa katiba ya kuwajibisha hata marais wastaafu kwa luwapeleka mahakamani kwa ajili ya upuuzi wa kipindi wakiwa madarakani.
Hatuna mapato ya kuweza kulipa madeni yote naona itafika muda tutauza inchi"Naapa kuwalinda wastaafu wote"
Tulipe tu! Mapato si yanaongezeka kila mwaka!
mkuu ni usanii tu! Mbona kuna wengine wapo madarakani tena wamepandishwa hata vyeo baada ya kuharibu? Mf kuna kamati zilizoundwa kuchunguza makinikia na wakatuaminisha tungelipwa hela nyingi na wakapuuza ushauri wa lissu na wakampa kilema, leo hao wanaume wamefungua kesi tukishindwa tunalipa, sasa kwanini kamati hizi za walaghai wakuu wake wamezawadiwa vyeo na tuliambiwa ni mashujaa? Kumbe hapa bongo ukiwa fisadi wewe ni shujaa na hakuna wa kukugusa!Inatakiwa katiba ya kuwajibisha hata marais wastaafu kwa luwapeleka mahakamani kwa ajili ya upuuzi wa kipindi wakiwa madarakani.
Magufuri anatuangusha sikuamini kama angekumbatia hawa mafisadi waliolifikisha taifa hapa.Tuliompenda Magufuli lkni tukampigia Lowassa Kura kwa sababu ya UOZO WA CCM, Hadi leo hatueleweki.
Jamani sio kwamba tulimuhusudi mtuhumiwa wa ufisadi, ilikuwa ni silaha ya Kuulia nyoka baada ya hapo na yenyewe ingewekwa kando maana hata ivyo ilikuwa imeisha choka.
Ona sasa tunarudi kwenye malalamiko yale yale.
Hapana Mkuu, mheshimiwa rais alishasema serikali yetu ni tajiri sana.Hatuna mapato ya kuweza kulipa madeni yote naona itafika muda tutauza inchi
ni vigumu kuifanya hiyo kazi ukiwa CCM. Lakini pia Mafisadi inaonekana yamekita mizizi hadi moyoni kuna mengine inahitaji timing kama unachinja kobe. Kuna mengine yamejitengezea ulinzi wa chuma(Sheria na katiba).Magufuri anatuangusha sikuamini kama angekumbatia hawa mafisadi waliolifikisha taifa hapa.
Zile tambo za kufungua mahakama ya mafisadi ilikuwa ni kama ngonjera
Ndani ya ccm hakuna msafi ni kama Ebola kila mahaliMagufuli mwenyewe fisadi
Kweli mkuu, watu kama chenge na wenzake nani atawagusani vigumu kuifanya hiyo kazi ukiwa CCM. Lakini pia Mafisadi inaonekana yamekita mizizi hadi moyoni kuna mengine inahitaji timing kama unachinja kobe. Kuna mengine yamejitengezea ulinzi wa chuma(Sheria na katiba).
Tanzania yetu ina mambo ya ajabu sanamkuu ni usanii tu! Mbona kuna wengine wapo madarakani tena wamepandishwa hata vyeo baada ya kuharibu? Mf kuna kamati zilizoundwa kuchunguza makinikia na wakatuaminisha tungelipwa hela nyingi na wakapuuza ushauri wa lissu na wakampa kilema, leo hao wanaume wamefungua kesi tukishindwa tunalipa, sasa kwanini kamati hizi za walaghai wakuu wake wamezawadiwa vyeo na tuliambiwa ni mashujaa? Kumbe hapa bongo ukiwa fisadi wewe ni shujaa na hakuna wa kukugusa!
Amekufisadi nn mkuu?Magufuli mwenyewe fisadi
Yaani sijui inchi hii tunakoenda inasikitishaMagufuli mwenyewe fisadi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Bado mnasubili pesa za accacia?Hapana Mkuu, mheshimiwa rais alishasema serikali yetu ni tajiri sana.
Halafu kumbuka na sisi tunadai matrilioni ya kutosha kwa wale accacia.. wakitulipa tuwalipe wadeni wetu wote tuwe huru.
Wenyewe wafia chama wakikusikia mapovu yatakuishiaBado kesi za makinikia nazo tujiandae kupigwa mabilioni, ccm na ukimwi hakuna tofauti
Ameifisadia nchi yangu hana aibu anajenga chato uwanja kwa kampuni yake sitaki kurudi kwenye nyumba alizohonga vimada ala mv Dar ameficha jeshini wala anavyoingiza hasara kwa kukopa benki za biasgara huyu kichas ni fisadi kuliko maraisi waliotanguliaAmekufisadi nn mkuu?