Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

Am

Putin ameomba msaada China na North Korea. Wachina wapo njiapanda yaani sitaki nataka lakini Kim kamtolea nje kabisa eti hawezi kuingia vita vya kipuuzi
Story za vijiweni hizi..... Tunasimuliana kama biashara ya maandazi mtaani..... [emoji1787] Weka source...
 
Mkuu ujue sie pia tuna uwezo wa kufikiria,unatuonaje kutuletea hii gahawa siyokuwa na ladha hata kidogo🙂

===
Naona video nyingi zilizokuwa zinaonyesha silaha za Russia Youtube na google wameziblock!
 
Radar hukamata urefu fulani kutokea ardhini
 
Hawa Pro Putin wameshakuwa waongo kupindukia hadi unasoma comment zao huku unacheka.Sijui wanadhani vita inapiganwa kwenye comment za JF?
Wana hasira kuwa hadi sasa hawajaweza matarajio yao
 
Wanabana taarifa za upande wa pili ili wawalishe watu matango pori yao
 
Radar hukamata urefu fulani kutokea ardhini
Radar zao zili detect ....kwahio haikua kwenye urefu ambao radar haziwezi ku detect ......shida walishindwa ku intercept hako ka drone utopolo..........sasa kama drone ya miaka ya 70 hivyo na speed yake hio wanashindwa ku intercept itakuaje yakianza madude ya hypersonic....si nato watakimbiana
 
Bandiko lingine ambalo wamalekani wa tandale wanalipitia kimyakimya
 
Unafikili vifaru vinajiendea tu kama jongoo. Kuna jeshi la anga kazi yao ni kusafisha njia kwanza. Hao walioweka vizuizi waambie waombe dua yao ya mwisho kwani hakuna kitu kinachokwenda kumzuia Russia asifikie malengo yake
 
Mrusi ana hali mbaya sana! View attachment 2151196

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hv vitaarifa vinavyotolewa na viakaunti vya kuonyesha urusi anapotea havina tofauti na kiakaunti cha awamu iliyopita kilichokuwa kinalengo maalum.....

Vita haichagui silaha..👣.....


Toka watengeneze picha mbaya dhidi taliban na leo n wema ......

Wamagharibi sio safi safi
 
Barricades ambazo ni wananchi? Kinachowalinda hadi sasa ni wanajeshi wa ukraine kutumia raia kama ngao zao ....isingekua hivyo wangeshafyekwa mapema kabisa
Steel barricades and not Human barricades and Russian invaders are becoming Increasingly frustrated that's why they're launching relentless attacks on the civilian infrastructure.
 
Drone ya miaka ya sabini, Drone ya kwanza ilitengenezwa mwaka gani. Walevi wa maharage ni wengi sana humu.
 
Jeshi la Tanzania drones ni muhimu liwe nazo,vita kadhaa za hivi karibuni nimeona drones zilivyo na msaada mkubwa kwenye war scale.
Ukreine drones zimempa msaada sana.

Kwani zinauzwa shilingi ngapi hizi makitu maza avunje kibubu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…