Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,660
- 2,932
Story za vijiweni hizi..... Tunasimuliana kama biashara ya maandazi mtaani..... [emoji1787] Weka source...Am
Putin ameomba msaada China na North Korea. Wachina wapo njiapanda yaani sitaki nataka lakini Kim kamtolea nje kabisa eti hawezi kuingia vita vya kipuuzi