britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ayatollah kwisha habari yakeMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.marekani ana mambo kweli, si aseme tu anaenda kupigana kwa cover ya israel. iran akijaribu atapigwa mbaya sana.
Hata Israel ikisaidiwa kwa Iran hii vita aliungiaje la siyo kuwasaidia wapalestina na Hamas?Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Wanaliona mkuu na huwa wanalizungumza.Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Wanafik hao, waseme wao hawatajizuia, game lao hilo wanawasukumia mashoga wenzao wa kizayuni wasiojiweza.Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Hivi we kiongozi uliyeandika Uzi huu unafikiria Nini??Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Israel bila msaada wa Marekani haiwezi kuishambulia Iran.Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Wanafik hao, waseme wao hawatajizuia, game lao hilo wanawasukumia mashoga wenzao wa kizayuni wasiojiweza.
Mmerekani aingie yeye akapigane live, asikete unafik wake hapa.
Wanafik hao, waseme wao hawatajizuia, game lao hilo wanawasukumia mashoga wenzao wa kizayuni wasiojiweza.
Mmerekani aingie yeye akapigane live, asikete unafik wake hapa.
Walisema hivyo pia kwa israel kabla hao ni wanafiki iran piga kazi ndio kidume wa dunia kwa hivi sasa!Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”