Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Labda huelewi. Marekani haijawahi kushiriki vita ya Israel dhidi ya mahasimu wake.

Msaada pekee ambao Israel inaupata kutoka Marekani ni sawa na ule inaoupata Ukraine au tulioupata sisi toka Cuba dhidi ya Uganda. Ni msaada wa silaha na fedha, lakini siyo kwente uwanja wa mapambanao.

Uwezo wa kwenye uwanja wa mapambano wa Irael, hasa upande wa anga, Dunia nzima inajua na hata Iran inajua, ni far better than Iran, na unakaribiana sana na ule wa Marekani.

Marekani inaizidi sana Israel kwa utajiri na ukubwa wa jeshi, lakini siyo kwenye mbinu za kijeshi.

How strong is Iran's air force?

The Iranian air force has 37,000 personnel, but has only a few dozen working strike aircraft, including Russian jets and aging U.S. models acquired before the Iranian revolution of 1979. Tehran has a squadron of nine F-4 and F-5 fighter jets, some F-7s and F-14s, plus one squadron of Russian-made Sukhoi-24 jets and some MiG-29s.

Iran has the largest and most diverse missile arsenal in the Middle East, which includes thousands of ballistic and cruise missiles, according to a 2021 report.

But Israel has one of the most technologically advanced missile arsenals in the Middle East, it states.

"Iran might have a larger army or population to draw upon," Shaikh said. "But if a full war breaks out, a lot of the initial fighting will be through air and missile power. And that's where Israel holds strong advantages."

Iran's main advantage against Israel has always been being able to attack through its proxies — including Hamas in Gaza, Hezbollah in south Lebanon and the Houthis in Yemen.

"If you are targeting Iran, you are often targeting its proxies instead,"

Meanwhile, one distinct advantage Israel holds is its air force, considered one of the most advanced in the world.

Israel has an advanced, U.S.-supplied air force with hundreds of F-15, F-16 and F-35 multipurpose jet fighters.

"That is a major advantage, especially in the early stages of an Iran-Israel conflict. Iran is still using decades-old aircraft," said Shaikh.
We jamaa huwa kiazi, halafu mwenyewe unajiona top notch
 
Wanafik hao, waseme wao hawatajizuia, game lao hilo wanawasukumia mashoga wenzao wa kizayuni wasiojiweza.

Mmerekani aingie yeye akapigane live, asikete unafik wake hapa.
Hakuna taifa linaiweza Israel kivita hapo mashariki ya kati. Hata wasiposaidiwa na Marekani. Kwanza tambua kwamba Wayahudi ndio wanaibeba Marekani. Hivyo Marekani inabidi tu iisaidie Israel vinginevyo Waisraeli wa Marekani wakiacha kuisaidia Marekani ndio itakuwa mwisho wa u Super power wao.
 
Iran ajiepushe na hii vita ya moja kwa moja
Hapo Israel anakusudia kumtia hasara kwa kushmbulia visima vya mafuta na lengo lao ni kushambulia vituo vya Nuke.
Vilishambuliwa visima vya mafuta,hakuna meli ya mafuta itapita hormuz,hapo tutarudi kwenye baiskeli kama walivyoahidi iran
 
Maandalizi ya promis 3 tayali kwasasa watu wanaandaa promis 4 mpya iwe tayali ikitokea Jokaaa kuu limekuja gafla bin vuu tunawaomba kina kina Himars mlaleo mzee kigogo Ti-armata msikimbie jukwaaa muzoee tu izi promiss japo zinauma
 
Kuna watu hua mnahisi uwezo wa kivita wa USA ni kama Rwanda tu😅😅😅😅.
Yaan mtu anadhan US ni mafala kama hawa mafala wanao jitangaza uwezo. Us akili kubwa daima hataweka uwezo wake hadharani
 
Kama Iran shida yake ni kuingia "head to head war" na mmarekani si atupe kombora moja pale Pentagon?

Anarandaranda tu ila kidizaini anamuogopa mmarekani... Maana km wamarekani ndo wanafanya operation ya kumkanda nchini kwake kwanini naye asiwakande kulekule kwao kuliko kukomaa na Israel ambaye mnasema ni kibaraka tu wa mmarekani?
Chawa hua wanakera kuliko boss ,asa lazima chawa aadabishwe kwanza
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
takbiiir jino kwa jino tutalipa tuuu
 
Back
Top Bottom