Weka ushahidi solid tuamini ulichoandika, vijana wengu kweye hili la Israel vs Iran mmegubikwa na ushabiki uliokithiri.Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo