Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Amalozane kwanza na hivi vikundi vinavyomsumbua ndio aende Iran
anataka mfadhili wa vikundi hivyo ammalize aache vikundi vya kipalestina viishi kwa amani. Iran kaishapapaswa mpapaso wa ajabu akijitia kiburi anashushiwa kitu kizito, mwisho wa maayatollah umekaribia
 
Iran anajua anaeweza kwenda kwake na marekani sio Israel sasa kwakua anavaa kot la Isreal basi Iran atupa promis 3 baadae 4 adi 7 uko adi jokaaa kuu lije lenyewe apo ndio tutaona vita rasm russia ndani mchina ndani kolabo ya kummaliza Jokaaa kuu.
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Kumbe US ndio anamzuia Israel, basi tumejua nani baba
 
anataka mfadhili wa vikundi hivyo ammalize aache vikundi vya kipalestina viishi kwa amani. Iran kaishapapaswa mpapaso wa ajabu akijitia kiburi anashushiwa kitu kizito, mwisho wa maayatollah umekaribia
Labda Iran ya Makunduchi
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Chanzo cha habari Kiko wapi ndugu
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Haujasema Irani anapata kiburi kutoka wapi!
Waweke bayana wote tuwajue
 
Labda Iran ya Makunduchi
hiyo iran yenu mnayoipepelea kuwa ina nguvu ya kuisambaratisha israel mlisema weekend hii itaishambulia israel mbona haijafanya hivyo? Daima israel ndio mbabe wa vita mashariki ya kati mfahamu hilo
 
iyo iran yenu mnayoipepelea kuwa ina nguvu ya kuisambaratisha israel mlisema weekend hii itaishambulia israel mbona haijafanya hivyo? Daima israel ndio mbabe wa vita mashariki ya kati mfahamu hilo
Israel ilisubiri miezi 2 tulia dawa inakuja
 
Israel bila msaada wa Marekani haiwezi kuishambulia Iran.

Labda huelewi. Marekani haijawahi kushiriki vita ya Israel dhidi ya mahasimu wake.

Msaada pekee ambao Israel inaupata kutoka Marekani ni sawa na ule inaoupata Ukraine au tulioupata sisi toka Cuba dhidi ya Uganda. Ni msaada wa silaha na fedha, lakini siyo kwente uwanja wa mapambanao.

Uwezo wa kwenye uwanja wa mapambano wa Irael, hasa upande wa anga, Dunia nzima inajua na hata Iran inajua, ni far better than Iran, na unakaribiana sana na ule wa Marekani.

Marekani inaizidi sana Israel kwa utajiri na ukubwa wa jeshi, lakini siyo kwenye mbinu za kijeshi.

How strong is Iran's air force?

The Iranian air force has 37,000 personnel, but has only a few dozen working strike aircraft, including Russian jets and aging U.S. models acquired before the Iranian revolution of 1979. Tehran has a squadron of nine F-4 and F-5 fighter jets, some F-7s and F-14s, plus one squadron of Russian-made Sukhoi-24 jets and some MiG-29s.

Iran has the largest and most diverse missile arsenal in the Middle East, which includes thousands of ballistic and cruise missiles, according to a 2021 report.

But Israel has one of the most technologically advanced missile arsenals in the Middle East, it states.

"Iran might have a larger army or population to draw upon," Shaikh said. "But if a full war breaks out, a lot of the initial fighting will be through air and missile power. And that's where Israel holds strong advantages."

Iran's main advantage against Israel has always been being able to attack through its proxies — including Hamas in Gaza, Hezbollah in south Lebanon and the Houthis in Yemen.

"If you are targeting Iran, you are often targeting its proxies instead,"

Meanwhile, one distinct advantage Israel holds is its air force, considered one of the most advanced in the world.

Israel has an advanced, U.S.-supplied air force with hundreds of F-15, F-16 and F-35 multipurpose jet fighters.

"That is a major advantage, especially in the early stages of an Iran-Israel conflict. Iran is still using decades-old aircraft," said Shaikh.
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
AACHE VITISHO AKAE PEMBENI KWELI AWAACHE ISRAELI NA IRAN
 
Hakuna taifa linalopigana vita pekee yake ila kwenye vita huwa kuna taifa husika ambalo linakuwa mbele mataifa mengine yanakuwa nyuma yake lakini ushindi na kushindwa ni wa taifa ambalo liko kwenye mstari wa mbele.

Russia pamoja na ubabe wake wote hapigani peke yake ana saidiwa na Iran,Korea kasikazi ambayo imepeleka kabisa askari kwa ajili ya kupigana.
Tatizo usa anapigana kwa niaba halafu isreli ndo anawekwa mstari wa mbele eti yeye ndo kafanya
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Bora iwe hivyo mayahudi iwe ndio mwisho wao
 
Nan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio sw
Israeli ndo alianza kwa kubomoa ubalozi wa irani ..ni chi gani ingevumilia huo ujinga
 
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Kama sio bikra usioe
 
Kelele tu atafanya nini zaidi ya alicho fanya, hio ni dalili wazi Israel anaogopa na US anajidai kumtisha Iran.
Iran toka lini alitishiwa nyau 😄
 
Israel hataniii anasubiri mtu ajitegeshe

Marekani tayari kapeleka B52 zakutosha hivyo ni swala la muda kabla kule hapajawaka
 
Kama Iran shida yake ni kuingia "head to head war" na mmarekani si atupe kombora moja pale Pentagon?

Anarandaranda tu ila kidizaini anamuogopa mmarekani... Maana km wamarekani ndo wanafanya operation ya kumkanda nchini kwake kwanini naye asiwakande kulekule kwao kuliko kukomaa na Israel ambaye mnasema ni kibaraka tu wa mmarekani?
Makonbora ya IRAN hayana uwezo wa kufika huko ulikokutaja. Yana uwezo wa kupiga Kambi za maeneo ya Middle East na alishaonyesha mfano pale IRAQ. Kambi 2 zilibondwa na Trump akaufyata.
 
Haujasema Irani anapata kiburi kutoka wapi!
Waweke bayana wote tuwajue
Bila shaka ni Russia,lakini nijuavyo Mimi Iran haitakiwi kuitegemea hiyo nchi. Kwani urafiki huu ni kwa kuwa tu Putin nae mambo yamemkaba huko anahitaji kampani.

Iran inaweza ikachakazwa na Russia asiingilie
 
Sasa kinacho ni shangaza Israel iko kwenye mgogoro na Iran ila hawa marekani maneno mengi kama watoto wa 2000.
 
Back
Top Bottom