PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wakati hata wewe umeliona...Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo