B52 kwenye modern war hazina nafasi labda wazipeleke Syria au Yemen huko ..kwanza lilivyokubwa unalitungua tu kwa nchi yenye missle capability kama Iran na ADs za maanaIsrael hataniii anasubiri mtu ajitegeshe
Marekani tayari kapeleka B52 zakutosha hivyo ni swala la muda kabla kule hapajawaka