Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

Arm sio US based, ni Uk base take
Mkuu siwezi kuandika gazeti, ciz sio mpenzi sana wa kuandika,
But trust me huawei haifi, time will judge
Waulize inakufa lini MKUU [emoji23][emoji23][emoji23]

Pengne tunataka tukanunua share[emoji4][emoji4][emoji4]
 
China juu
 
Dah kweli tunatofautiana uelewa na scenario nzima ya mkono mkubwa wa US sanctions.
 
Dah kweli tunatofautiana uelewa na scenario nzima ya mkono mkubwa wa US sanctions.
So huandiki fact, but USA propaganda.
Dah nimetumia kunguvu na resources zangu, nikitegemea tuka kwenye fact na reality, kumbe mwenzangu ni propagandist.
Huo mkono mkubwa mbona haukuwazui wachina kurusha satellite, na waliapa kupitia defense minister wa US wakati huo ikitokea wachina wakarusha, wataitungua?
 
Isizuilike kwa sababu gani? Ile inakufa. Ikipigwa vikwazo vipya imekwisha.
Vikwazo vya US haviwezi kukabiliana nataifa shindani nalenye Ushawishi+Uchumu Imara kama UCHINA kiukweli Kama alishindwa na anashindwa kwa IRAN ataiweza UCHINA

Kuhusiana navikwazo vya HUAWEI vinakaribia mwaka wapili huu ama watatu(niko tayri kusahishishwa)

US ukifuatilia vikwazo vyake vimekua failled kwamataifa makubwa ambayo yanajitambua angalia VENEZUELA tu hapo kashachemka MKUBWA(US) angalia IRAN jamaa anapelekeshwa navikwazo ila mpaka leo anadunda US kachemka ataiweza UCHINA!?

tumuombeni MUNGU atupe uzima tuishuhudie mwisho wahii vita tumjue mshindi na Mshindwa japo siioni HUAWEI akianguka kwasasa wala baadae kwasababu yahivi vikwazo

Sasa hivi mataifa Mengi yanakiuka tu vikwazo vya US kwambaali kabakia na CANADA na EU ila mataifa ambayo yanamaslahi mapana na yana rasilimali watu wakutosha wanapuuza tu vikwazo vya US refer KOREA INDIA UCHINA TURKEY kuhusiana navikwazo vya IRAN hili la HUAWEI ashukuru sababu kuna walau kaushindani na SAMSUNG na EPO lasivyo ingekula kwake fasta AFRIKA ndio kabisaaa wamewaona US wababishaji hasa watawala wanao aminika kwamba nimadikteita
 
Kampuni nyingi tu zinalipana mirahaba. Mirahaba hiyo ni sehemu ndogo sana ya Huawei. Ukisoma hiyo habari Huawei imepokea mrahaba wa $1.4B huku imelipa $6B. Unaweza kuona tofauti.
Sababu huawei ni giant,ndo maana inasource nyingi za kutumia patent,,
Lakini kwa G5 technology,kampuni nyingi za marekani zinategemea tech ya huawei.
 
HAHAA et reset button.....ila ni kweli mbele kuna kiza kwenye hizo nchi za magharibi na ni kama kila mtu kachanganyikiwa.
 
Wewe mambo ya kitalaam unaleta siasa?!
 
Mwezi uliopita huawei imeipiku samsung kama ndio no 1 largest smartphone maker in the world,ila unasahau kwamba huawei ana patent nyingi mno kwenye 5G tech na ndiye anayeongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…