Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Kenya Huwa inatumia Kila juhudi kutuhujumu tofauti na wewe unavyosema hapa
 


Mama yetu anashinda kutwa nzima kufikiria tumbo la familia na wadau wenzake wakina kikwetwe badala ya kufikiria mambo muhimu. Wenzetu wana katiba mpya pamoja na kuwa na ukabila katiba yao hakuna mtu anasema ni mbaya. Pili wana mfumo mzuri wa Bunge, Mahakama , Uraisi/uongozi. Wana demokrasia na diaspora wao wana haki na kuchangia nchi yako. Sisi viongozi wanajiangalia wenyewe na kufikiria jinsi ya kuiba kura.

Juzi tu wawekezaji kenya wameshawekeza na kutoa kazi 25,000 yaani wanafanya kazi kenya lakini kazi ni za IT huko USA
 


Mama anafikiria kuiba kura tu na kuchenga majukumu ya katiba

 
Sasa inafika hata 10% ya Bajeti yetu? Kwa taarifa Yako tuu Wanaoitwa wahisani wanacha ngia chini ya 25% ya Bajeti ya Nchi.
mkishiba misaada na mikopo ndo huwa mnasema hv ? omba USA asione huu upuuz wenu , shule , afya na ulinz bado hamuez jiendesha wewe unazungumzia mnaweza jiendesha kwa zaid ya 50% bila utegemez ?
 
siku ukikua kiakili na kuyatafakari yanayoendelea leo utagundua yote unayaamini ni kinyume , leo hii Nchi za Asia ndo zinainyonya Afrika na sio Ulaya ila watu weusi akili kisoda bado akili ipo mwaka 1960
 
Mambo yakenya yanakuhusu nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…