Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Utapata kimaendeleo wakati wakenya wanalia na hali mbaya kiuchumi.wakulima wa miwa west kenya wanalalamika kuongezewa ushuru kwa kila lori linalochukuwa miwa kwa wakulima kwenda viwandani?
Acha ushamba Wenzetu sh 100 unakunywa chai asubuhi na chakula cha Mchana.
Tz asubuhi na mchana unatumia 6000 Kwa chakula hicho hicho Huoni tofauti?
 
Kwahiyo unawaonea Kenya wivu ulitamani Tanzania ndio iitwe na marekani ikapewe "Uchawa " wa Afrika mashariki?
Si wivu. Ni kupewa kuwa kiranja wa kanda
Kwa maslahi ya Marekani. Kuchukua Tahadhari Ni Lazima
Sasa Kenya tumuonee vivu gani...wananchi wa Tanzania Wana maisha Bora Sana Kuliko Kenya. Wanaoenjoy Kenya ni matajiri Tu
Masikini wako Jehanam
 
Acha uongo DFP ni mashirika yasiyo ya kiserikali inaweza kuwa EU , Finland, Sweden, German , Britain nk. hawa ndio donors wakubwa hapa Tanzania
Stop lying. Kenya is headquarter for Ambassadors worldwide. I traveled for visa in Nairobi. Huo mtaa unaitwa Runda Road ni Balozi tu
 
Awe kibaraka, au, LA, ni Bora ujenge ushirikiano na wa kubwa kuliko huu U K....., unaofanywa na CCM,
Nchi zote za Afrika, ukiacha SA, ni vibaraka wa, West, wanschokitaka, utakifanya tu, sasa ni wewe tu utafanya ukiwa sham bani l 'field bigger"au, ndani ya mjengo "house bigger"
Pesa, zao, tunapokea, kupitia miradi ya USAID, UN nk, tuache unafiki,katika Afrika, Ruto/Kenya, US wameona ndio Akili kubwa, Uganda yupo fala mmoja anazeekea ikulu, TZ, ni mwendo wa, mipasho, taarab, mabango, hakuna hata sound byte ya, maana kutoka kwa huyu mama wa zenj,kama chama cha siasa tu cha upinzani kinamjambisha mishuzi, siasa, za, dunia hataweza vipi!? Na let be honest aalikwe white house aongee rugha gani! Wakati kizungu hqkipandi!
 
Hakuna kitu Kingine chochote Cha maendeleo zaidi ya porojo za kipumbavu
Eti wamepewa bilioni 500 za kupambana na rushwa. Aisee hivi waafrika tutakua lini na akili? Nikweli hatujui njia za kupambana na rushwa mpaka upewe msaada wa bilioni 500 yenye masharti ya kupambana na rushwa? Hii misaada ni ya kuwafanya wakenya waendelee kuwa tegemezi, masikini na ombaomba maisha yao yote hawatasimama kwa miguu yao.
 
Si wivu. Ni kupewa kuwa kiranja wa kanda
Kwa maslahi ya Marekani. Kuchukua Tahadhari Ni Lazima
Sasa Kenya tumuonee vivu gani...wananchi wa Tanzania Wana maisha Bora Sana Kuliko Kenya. Wanaoenjoy Kenya ni matajiri Tu
Masikini wako Jehanam
Sasa si ndio kupewa "uchawa" wa marekani . Wewe kwakili yako Kenya atatumbia nini sisi na hicho cheo kipya anachopewa na marekani?
 
Zenyewe zitageuzwa kuwa Rushwa
 
Amecheza yeye au watendaji wao Ujasusi wa uchumi


Tulishakuwa na balozi akina masilingi. ,nilimwangalia akibishana na lisu nikajisemea huyu ndobalozi kweli huko America anasimamia wezake!
 

Chawavariable 🤣
 
tumerejeshewa ,kwann turejeshewe na tulishapewa

Twambie kwann kwani tulipokuwa tumepewa kwann walichukuwa ndomana wameona Kenya ikosawa
 
tumerejeshewa ,kwann turejeshewe na tulishapewa

Twambie kwann kwani tulipokuwa tumepewa kwann walichukuwa ndomana wameona Kenya ikosawa
Tuwaulize nyie mashabiki wa Mwendazake na Chadomo,Kwa nini mliondolewa awamu ya 5?
 
Tuwaulize nyie mashabiki wa Mwendazake na Chadomo,Kwa nini mliondolewa awamu ya 5?
Mimi nina namba ya utambulisho wa uraia ,kwamana utanzania, vyama sitovichekea wala serikali ,ila rafiki yangu ni mama Tanzania, nikiona serikali inam-baganza mama Tanzania sitakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…