Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Allah atatushindia.Dunia inapaswa sasa kuitambua haki ya wapalestina na kuacha kutoa upendeleo kwa Israeli, Wapalestina nao ni binadamu wanahitaji kuishi na kuwa na Taifa lao.
Dunia ijitahidi kubalance mambo ili amani ipatikane na Wapalestina wawe na Taifa lao pia.
Leo Wangoni wakiamua kutengeneza kitabu Chao na kusema ardhi yao ya ahadi ni South Africa Kwa Babu zao maana yake tutawaacha waende pale SA.
WaAfrica tunapigia kelele za uvamizi wa Boers pale SA, tutakuwa tayari kuwaunga mkono wakituambia pale ndio nchi yao ya ahadi kupitia kitabu chao?
Wachaga watoke Kilimanjaro waende kwao Ethiopia sijui na Mbilikimo wa DRC warudi kwao Kilimanjaro kwenye ardhi ya Babu zao aka nchi yao ya ahadi.
Dunia ilisimamia Timor mashariki wanapata nchi na kumeguka kutoka Indonesia na mpaka Leo hii amani imepatikana pale.
Leo hii Dunia inaisaidia Ukraine na kumuita Russia mvamizi na hata kumpa silaha Ukraine.
Kwanini ni Ngumu Palestina kuwa na Taifa lao na ilikuwa rahisi kuanzisha Taifa la Israeli miaka hii ya 1900 ilihali Wapalestina walikuwepo hapo na waisraeli waliondoka mahala hapo?.
Wapalestina kwao ni wapi? na asili yao ni wapi? Mbona tunaambiwa Ibrahim Baba wa Imani alitokeo Kaldayo (inasema ni Saudia) kwanini sasa Waisraeli wasiende kwenye asili ya Babu yao Ibrahim Kaldayo na kuamua kubaki kwenye maandiko ya kitabu ambacho kimsingi wanakiamini wao kwa Imani yao?
Kesho Hinduz wakiamka wakatuambia kwao ni USA kwa mujibu wa kitabu Chao basi tunaamini, Kesho ikizuka dini pale Buza na wakazi wa Buza wakatuambia kiasili na kiimani Kwa mujibu wa kitabu Chao na mitume yao ni UK nayo tuseme sawa wapishwe.
Wapalestina nao ni binadamu na wanapenda kuishi Kwa amani ndani ya Taifa lao kama Israeli na wengine wanavyoweza kuishi ndani ya mataifa yao.
Mwenyezi Mungu awabariki wote na kuwapa hekima yakuleta amani mashariki ya kati na watu wote pale wakaishi kwa amani kama kwingineko duniani.
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wengine walio kwenye mtaziko wa vita na kutesa maisha yao mfano DRC, CAR, nk.
Mkuu hakuna haja ya Israel kumegewa ardhi Jordan wala Syria wala Lebanon.
1947 Ramani ilichorwa na ISRAEL alipewa ardhi kubwa sana inayotosheleza.
Ila shida ilianza 1948 Israel alipoanza territory expansion na UN under USA kukataa kuitambua Palestina kama taifa huru.Utata ulianza hapa.
Mipaka ipo cha kufanyika ni kurudiwa mipaka ya 1947 wala hakuna haja ya kukatwa mipaka upya.
Na bila mafuta ardhini Mwarabu ni mwepesi kuliko BundiBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Wewe utakua ni muigizani wa Kaole!!Aaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na Bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
Huwa hawana maajabu kwenye mtu kwa mtu,wapo Gaza muda tu,wakizidiwa kidogo huita ndege,Sasa Israel nchi ni uchochoro,ndege zitapata tabu,taifa teule limeomba msaadaMuda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Mmehamia kwenye hili chaka sasaBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Putin anapiga sarakasi huko,kapata wasaa wa kuzamisha makopo,Kama namuona kiduku nae akipaki mzigo utumwe mashariki ya katiBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Ayatollah mtu wa dini,mtume kasema kuahidi Kisha hutimizi ni dalili ya unafiki, ayatollah hawezi kuwa mnafiki,maana mnafiki Allah kasema atamuweka chini kabisa ya moto wa jahannam,tegemea lizombe kuchezwa IsraelNaona mkwara wa Ayatolah umejibiwa.
Hapa nakuunga mkono,wakina Rais JFK na mababu zake hukoAcha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
Atatiaje mguu na wakati yeye mwenyewe anaomba na kusaidiwa Silaha na Iran,China na KoreaUnamaanisha Urusi hawezi kutia miguu middle east!?
Teh teh teh naona Iran kawapiga ganzi kwa umama wake,mliweka matarajio mengi na mazuri kwake lakini kila leo anawaangusha.Hao ndo wanampa Kiburi Yahudi kuwa kamanda kichaa mwenye rungu pale.
Hahahaha nilikuwa nausubiri sana huu muda,kwanza nasubiri Iran aanze kuputa mchanga kwa kurusha mabomu Israel.Ule muda wa kilio cha wanaua watoto na wanawake umefika 😎
Hata wewe hukupaswa kumjibu matumizi mabaya ya chaji.Burundi impige Israel? Matumizi mabaya ya bando lako.
Nadhani aliyelengwa kuchakazwa aliyegusa mslahi ya Marekani moja kwa moja hapo ni Yemen.Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Ayatolah safari hii ndio mwisho wake,Iran inaenda kuwa Secular Republic.Ayatollah mtu wa dini,mtume kasema kuahidi Kisha hutimizi ni dalili ya unafiki, ayatollah hawezi kuwa mnafiki,maana mnafiki Allah kasema atamuweka chini kabisa ya moto wa jahannam,tegemea lizombe kuchezwa Israel
Ni sawa na kusema,ile timu bila kipa wao tungwafunga kumi bila.Haileti maana.Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Naona umeamua kuropoka.Wewe utakua ni muigizani wa Kaole!!
Huijui vita wewe Kobaz!! Soon utakuja na kilio Kwa Mahakama ya Kimataifa