Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Fact.

Misingi ya USA ilianzia kwa Wafaransa wa Paris. Unaweza kusema kama sio Mfaransa kumdhoofisha Muingereza basi Mmarekani asingepata Uhuru in mid 1770's

Labda angekuja kupata uhuru miaka tuliopata sisi Waafrika na India tena kwa jasho na damu
Wamarekani unaowaongelea hapa ni waingereza, uingereza Kuna mji wa York,walipofika marekani wakakumbuka kwao na kuipa jina la new York,Kuna miji mingi ya hivi marekani,so kuhusianisha USA na ufaransa na kuitoa uingereza ni blah blah tu za ubishani
 
Israhell imepigana namataifa yote ya kiarabu kwa siku sita ila mwaka sasa wanashindwa kupoa mateka
Naona mungu wao kaacha kuwalinda kawaajiri wamarekani wamlinde
Israhell yakwenye media inamaguvu sana kuliko hii ya asili
Naona unatafuta faraja kwa mateka baada ya chui wenu wa karatasi kuwatia aibu kubwa kwa kila mara kugongewa kwake.
 
Israhell haielewi meza yamazungumzo daima dawamu mpaka ipigwe
Njia pekee yakudeal na wazayuni wavamizi ni bakora tuuu
Shika Bomu nenda Israel,halafu siku hizi waarabu washajitambua ule upuuzi wa kujitoa muhanga kwa ajili ya upuuzi wa dini hakuna tena. Sasa hivi kama nyie ni Hamas nendeni fronts mwenyewe na sio kuvalisha wanyonge mabomu halafu nyie mpo Qatar mnakula bata.
 
Wamarekani unaowaongelea hapa ni waingereza, uingereza Kuna mji wa York,walipofika marekani wakakumbuka kwao na kuipa jina la new York,Kuna miji mingi ya hivi marekani,so kuhusianisha USA na ufaransa na kuitoa uingereza ni blah blah tu za ubishani
Hujaeleweka, hakuna namna ya kuitoa Uingereza kwasababu ndiyo iliyoitawala USA, na wala sio mji mmoja tu uliotokana na Uingereza

Point yangu ni kuwa walioisaidia USA kupata Uhuru kwa mapinduzi ni France kwasababu France walikuwa mahasimu wa kimaslah na Uingereza
 
Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Hata wapiga ramli waarabu bila kuunhana na Iran, Lebanon, Syria, Jordan, Yemen, etc etc ni wepesi sana kila mtu ana haki ya kuwa na mshirika ktk vita. Kinachowafanya waarabu kujiona wana nguvu ni Israel kufuata sheria za vita otherwise, wangetumia style ya Mrusi au ya magaidi waarabu wangefutika duniani.
 
Israhell imepigana namataifa yote ya kiarabu kwa siku sita ila mwaka sasa wanashindwa kupoa mateka
Naona mungu wao kaacha kuwalinda kawaajiri wamarekani wamlinde
Israhell yakwenye media inamaguvu sana kuliko hii ya asili
Skiliza ww bwana utamu mgawa uroda wa magaidi, kuna zaidi ya nchi sita za kigaidi hapo Mashariki ya Kati wanaopambana na mwanaume Israel lkn bado hamjawahi kumshinda labla vikombora vyenu kugusa maeneo kadhaa tuu, ila Israel yeye akifanya jambo lake n lazima mpaka aljazeera wenyewe wanasema kweli hiki kipigo kimeingia vzr ila hatutangazi.

Umesikia ww bwana utamu mgawa uroda wa magaidi?
 
Aaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
Pole sana kwa kufiwa vipi mnazika lini?
Tuhudhurie mazishi ya mpendwa wetu ismaily Haniyeh
 
Marekani haiwezi tena kubadili hali ya mashariki ya kati.Ina silaha za maangamizi lakini haina wanajeshi makini kupambana na wanamgambo wa mashariki ya kati na hawatoitawala nchi yoyote tena hapo na hawataweza tena kuilinda Israel.
Wamelikoroga muda mrefu na sasa watalinywa.
 
Hao wamarekani ni waingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…