mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!!
Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo Hypersonic glide missiles, silaha iendayo kasi Mara kumi kuliko kasi ya sauti! Inayoweza kupenya ulinzi wa aina yoyote wa anga, imeshambulia ghala kubwa la maficho ya silaha lililochimbiwa chini sana ya ardhi na kuziharibu kabisa!!
Hiyo ndiyo ya Rais Zelensky kuja na ombi LA kutaka mazungumzo ya amani ya haraka sana na Urusi!! Alivimbishwa kichwa Sasa naona akili imeanza kurudi! Hiyo ndiyo Urusi!! Ukimwona Biden anagoma kujaribu kuweka no fly zone huko Ukraine mweleweni!!