Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

Soma

Screenshot_2022-03-20-07-58-58.png
 


hii habari inaelezea jinsi biden waarabu walivyo mkataaa wakagoma kupokea simu lakini trump alipiga akaongea nao
 
Hakuna ndege wewe Russia wanatumia tu makombora ya masafa marefu ya hypersonic sonic missiles anga la Ukraine hawataki kutumia ndege mmarekani na majeshi ya NATO wamemwambia hatufungi anga liko wazi Rusha ndege zako za kivita tukuonyeshe cha mtema kuni kabaki ohh mimi narusha makombora ya masafa marefu ya hypersonic missiles propaganda kibao arushe ndege za kivita kama yeye kidume kweli kwenye anga la Ukraine.
Wanaume wamemwambia anga liko wazi rusha
Sijui unaishi wapi kama upo duniani basi mengi kuhusu kinachoendelea huko kimekupita
 
Canada pia imechanganyikiwa! Imesema imepeleka silaha nyingi Sana Ukraine mpaka imeishiwa silaha za kupeleka huko na haitapeleka téna!!
Mimi nasema pelekeni tu, mwisho wake mtauona!!
Ukraine limekuwa dampo la siraha za zamani wamechoka kuyatunza, urusi nae kayapeleka mengi ya zamani, oparetion ikiisha huko lazima vifunguliwe viwanda vingi vya kuchakata vyuma chakavu
 
Hii dude ni hatari nahisi Russia kalitumia mahususi kwa ajili ya kufanya mass distruction of weapons...sasa US warnde front waacha kusupply silaha ambazo hazisaidii chochote
 
Biden yuko sahihi

Kagoma kuweka no fly zone anataka mrusi arushe ndege zake amuonyeshe cha mtema kuni kupitia silaha zake mbona Mrusi harushi ndege pamoja na kuambiwa kuwa ruksa kurusha ndege?
Mkuu marekani kaweka mtego ili mrusi akitumia ndege zake za kivita mpya anazojidai aweze kuzisoma ili ajue madhaifu yake kwa mantiki hiyo mrusi harushi ndege mpya na marekani hawezi gusa mguu wake bila kujua madhaifu ya ndege za mrusi
 
Lengo pia no kuzionya NATO kuwa hatupo hapa kucheza, malengo yote lazima yatimie, weka pua yako mbali!

Use of hypersonic weapons warning to NATO: Correspondent​

Al Jazeera’s Dorsa Jabbari reporting from Moscow said the use hypersonic weapons by Russia was “significant” and a warning to NATO countries.

“This is yet another very significant and dangerous reminder that this country is willing to use whatever it has militarily to achieve its goals there in Ukraine.”

Kwa wasiojua ni kwamba Urusi ndio Taifa lenye hypersonic missiles. Marekani bado anafanyia kazi kujaribu kupata silaha hizo. China ndio nchi inayoifuatia Urusi kwa kuonesha mafanikio Fulani kwenye majaribio ya silaha hizo. Hivi karibuni Korea ya kaskazini pia imefanya majaribio ya silaha hizo kwa Mara ya kwanza!
Itachukua miaka kadhaa kwa nchi hizi kufanikiwa kuwa na silaha hizi! Urusi ilianza mapema sana utafiti wa silaha hizi na iliwachukua miaka 15 kufanikiwa kabisa!!
Unaongea kama vile upo kwenye ghala la silaha la US. Unao uhakika gani kwamba hawana? Hapo umekalisha saburi hapo kwa mtogole unatukaanga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source sio BBC bali ni Russian defence ministry. It could be true or not true kwamba wamelipua ghala la silaha chini ya ardhi. BBC wamenukuu tu.
Jiulize umesikia Ukrain wakikanusha hicho kipondo?...ndio uelewe kwamba wanakula bakora za maana hasa.
 
Back
Top Bottom