Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

Use of hypersonic weapons warning to NATO: Correspondent​

Al Jazeera’s Dorsa Jabbari reporting from Moscow said the use hypersonic weapons by Russia was “significant” and a warning to NATO countries.

“This is yet another very significant and dangerous reminder that this country is willing to use whatever it has militarily to achieve its goals there in Ukraine.”
 
Duh hii habari umeipatia wapi mkuu
 

Kwamba wamarekani na intelligence yoote walionao hawakuona, na uzoefu woote walionao hakuna, wakavundike silaha zoote kwenye handaki moja punguza wanzuki mkuu ni hatare saana
 

Na atapigwa sana
 
Putini kanipaa rahaaa sana leo General mmoja naona cnn hapa anasema russia imetumia siraha hiyo kujaribu kutuma clear massage kwa Nato na USA DON'T TRY ME
 
Huyu jamaa ni kiazi asikupotezee mda mkuu
 
Source sio BBC bali ni Russian defence ministry. It could be true or not true kwamba wamelipua ghala la silaha chini ya ardhi. BBC wamenukuu tu.
 
Ametaka mazungumzo kwa sababu hata askari wa Urusi wengi nao wanakufa..
 
hiyo imemchanganya sana biden,mpaka anampigia magoti china awe upande wake na kumwambia mambo aliyowafanyia trump wao hawayatambui,na pia hawatambui uhuru wa taiwan..
 
Bro huyu jamaa ni mtu mzima na senior Sana humu. Ilakichwa chake ni kitupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kayataka mwenyewe,kaharibu nchi na kuua watu wake,ndo anataka mazungumzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…