Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa


hii habari inaelezea jinsi biden waarabu walivyo mkataaa wakagoma kupokea simu lakini trump alipiga akaongea nao
 
Sijui unaishi wapi kama upo duniani basi mengi kuhusu kinachoendelea huko kimekupita
 
Canada pia imechanganyikiwa! Imesema imepeleka silaha nyingi Sana Ukraine mpaka imeishiwa silaha za kupeleka huko na haitapeleka téna!!
Mimi nasema pelekeni tu, mwisho wake mtauona!!
Ukraine limekuwa dampo la siraha za zamani wamechoka kuyatunza, urusi nae kayapeleka mengi ya zamani, oparetion ikiisha huko lazima vifunguliwe viwanda vingi vya kuchakata vyuma chakavu
 
Hii dude ni hatari nahisi Russia kalitumia mahususi kwa ajili ya kufanya mass distruction of weapons...sasa US warnde front waacha kusupply silaha ambazo hazisaidii chochote
 
Biden yuko sahihi

Kagoma kuweka no fly zone anataka mrusi arushe ndege zake amuonyeshe cha mtema kuni kupitia silaha zake mbona Mrusi harushi ndege pamoja na kuambiwa kuwa ruksa kurusha ndege?
Mkuu marekani kaweka mtego ili mrusi akitumia ndege zake za kivita mpya anazojidai aweze kuzisoma ili ajue madhaifu yake kwa mantiki hiyo mrusi harushi ndege mpya na marekani hawezi gusa mguu wake bila kujua madhaifu ya ndege za mrusi
 
Unaongea kama vile upo kwenye ghala la silaha la US. Unao uhakika gani kwamba hawana? Hapo umekalisha saburi hapo kwa mtogole unatukaanga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source sio BBC bali ni Russian defence ministry. It could be true or not true kwamba wamelipua ghala la silaha chini ya ardhi. BBC wamenukuu tu.
Jiulize umesikia Ukrain wakikanusha hicho kipondo?...ndio uelewe kwamba wanakula bakora za maana hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…