Ungesema Euro Ila sio Yuan . Pesa ya uingereza ndio inafuata Kwa mizunguko duniani baada ya DollarActually Wachina na Warusi wana Gold reserve za kutosha kwenye Vaults zao, na kizuri zaidi ushirika wa BRICS wako mbioni kutosa Dollar na kuanza kutumia Yuan, fedha za kichina zimekwisha kubarika sana Duniani -
Mimi naona majigambo ya Trump yana lengo la kujipigia debe kwa wapiga kura, si unajua tena huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake hivyo anataka ajionyeshe kwamba yeye ndie mwamba wa kuwakomesha Wachina. Uchaguzi ukiisha utamuona Trump anakwenda kumbeleza Ti Xi Ping yaishe.
Hahahaha nimeshangaa Sana unakuta Jitu limekaa tandale kwa shemeji yake linachambua mambo mazito Kama haya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... bila kusahau wale mabilionea wanaokutana pale Breton Woods kujadili uchumi wa dunia eti nao hawajawaza hilo na badala yake wamewaachia wauza kuku wa Tandale wadadavue mambo hayo kwa niaba yao! Ajabu sana Mkuu.
Ulitaka maneno ya Wamarekani yaweje?Isichukulie maneno ya Trump kama mameno ya Wamarekani wote au hata bankers wa Marekani.
Bankers wengi tu hawampendi kwa sababu wanaona anaharibu biashara kwa matamko kama haya.
Nimeshangaa Sana Tena Huyo kiranga nasikia anaishi Marekani ila hajui hayo[emoji1][emoji1][emoji1]Maneno ya Trump ndio ya wamarekan kama haujajua, maneno ya maguful ndio ya watanzania manake watu hao wametumwa na wanachi...kuna uzi ulikuja hapa DT alivyosema anajitoa HWO nikawaambia huyu jamaa kila analotamka anatenda hatanii bwana mmoja akabisha akisema oooh DT hawez mpaka cogress ipitishe kimepanda kimeshuka, kilichotokea kila mtu anajua....nikuuloze Pompeo alivyoamka asubuh tu akaandika kwenye twitter makomda asiingie marekan kwan ile nchi ni yake mwenyewe? Waza mara mbil
Kwanini hajafanya mpaka Sasa si afanye.Kwani Mchina hawezi kufanya money transfer kumlipa MSaudi bila kutumia mfumo wa Mmarekani?
Trump ni msomi wa uchumi na mwekezaji mkubwa wa muda mrefu...acha kujidanganyaMmarekani uchumi wake upo hivi due to dollarization,naona Trump alijui hili mkuu!! Iwapo mfano Asia,Africa yote na ulaya wakawa wananunua na kuuza bidhaa with China in Yuan ,bila SWIFT kuwepo katikati .......asubuthuuu....
Ahsnte MKUU niliishaviona...Nimeviweka hapo juu post number 83 na 84.
Hata kule IRAQ na VIETNAM hao uliowataja hapojuu walijifanya wajuaji kuliko sisi ila hatimae walichokutana nacho wanakijua wenyeweMsijifanye wajuaji kuliko CIA na Vyombo vingine vya Marekani
Best prez ever my nigga!... duh! Wachina wanalo safari hii; huyu sio Obama ni Trump; hii sio Democrats ni Republicans! Tofauti na watangulizi wake, naona Trump ameamua kuachana na mavita ameamua kudili na uchumi na ajira kwa wamarekani. The best US President ever!
Too Much and Never Enough.
Soma jinsi mtoto wa kaka yake Donald Trump alivyomchana Trump humo na kutoa siri za familia.View attachment 1509819
Ahsante sana kwa vitabu"Fear: Trump In The White House".
Msome the legendary Bob Woodward alivyoandika kuhusu miaka ya mwanzo ya utawala wa Trump.
Ukivisoma hivi vitabu na kufuatikia kwa karibu habari za Marekani kila siku, utaelewa kwa nini Trump anasemwa kama anaharibu serikali ya Marekani.View attachment 1509822
Too Much and Never Enough.
Soma jinsi mtoto wa kaka yake Donald Trump alivyomchana Trump humo na kutoa siri za familia.View attachment 1509819
Ahsante sana kwa vitabu"Fear: Trump In The White House".
Msome the legendary Bob Woodward alivyoandika kuhusu miaka ya mwanzo ya utawala wa Trump.
Ukivisoma hivi vitabu na kufuatikia kwa karibu habari za Marekani kila siku, utaelewa kwa nini Trump anasemwa kama anaharibu serikali ya Marekani.View attachment 1509822
... duh! Wachina wanalo safari hii; huyu sio Obama ni Trump; hii sio Democrats ni Republicans! Tofauti na watangulizi wake, naona Trump ameamua kuachana na mavita ameamua kudili na uchumi na ajira kwa wamarekani. The best US President ever!
Kobe akiinama.....Uchina iko kimya sana .....why???
Nalog off
Kiuhalisia yaaani
Vikwazo vishakua havina athari tena kama inavyotegemewa kama vikwazo vingekua na athari kama tunavyoaminishwa leo hii tusingekua na IRAN wala KOREA KASKAZINI
Vinaminya isiendelee nakama ilisha endelea ?!lakini vinaiminya nchi isiendelee kwa vikwazo hivyo...
na hiyo ndiyo dawa iliyobaki kudili na the Chinese Communist Party nation.
They are making noise "QUIETLY'. Wachina hawashobokei sana vita ya maneno, wanashobokea vita ya kiuchumi maana inauma kuliko vita ya aina nyingine. Tafuta documentary ya BBC inaitwa 'The Chinese are Coming'. Utajifunza mengi sana kuhusu ujio wa Wachina kwenye dunia ya kisasaUchina iko kimya sana .....why???
Nalog off
Sawa mkuu ngoja nikajionee...They are making noise "QUIETLY'. Wachina hawashobokei sana vita ya maneno, wanashobokea vita ya kiuchumi maana inauma kuliko vita ya aina nyingine. Tafuta documentary ya BBC inaitwa 'The Chinese are Coming'. Utajifunza mengi sana kuhusu ujio wa Wachina kwenye dunia ya kisasa