Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Actually Wachina na Warusi wana Gold reserve za kutosha kwenye Vaults zao, na kizuri zaidi ushirika wa BRICS wako mbioni kutosa Dollar na kuanza kutumia Yuan, fedha za kichina zimekwisha kubarika sana Duniani -

Mimi naona majigambo ya Trump yana lengo la kujipigia debe kwa wapiga kura, si unajua tena huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake hivyo anataka ajionyeshe kwamba yeye ndie mwamba wa kuwakomesha Wachina. Uchaguzi ukiisha utamuona Trump anakwenda kumbeleza Ti Xi Ping yaishe.
Ungesema Euro Ila sio Yuan . Pesa ya uingereza ndio inafuata Kwa mizunguko duniani baada ya Dollar
 
... bila kusahau wale mabilionea wanaokutana pale Breton Woods kujadili uchumi wa dunia eti nao hawajawaza hilo na badala yake wamewaachia wauza kuku wa Tandale wadadavue mambo hayo kwa niaba yao! Ajabu sana Mkuu.
Hahahaha nimeshangaa Sana unakuta Jitu limekaa tandale kwa shemeji yake linachambua mambo mazito Kama haya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Isichukulie maneno ya Trump kama mameno ya Wamarekani wote au hata bankers wa Marekani.

Bankers wengi tu hawampendi kwa sababu wanaona anaharibu biashara kwa matamko kama haya.
Ulitaka maneno ya Wamarekani yaweje?

Utasemaje maneno ya raisi wa Marekani sio ya Marekani ? Yani magufuli apige marufuku kutoka nje useme sio amri ya TANZANIA Ni ya magufuli.
 
Maneno ya Trump ndio ya wamarekan kama haujajua, maneno ya maguful ndio ya watanzania manake watu hao wametumwa na wanachi...kuna uzi ulikuja hapa DT alivyosema anajitoa HWO nikawaambia huyu jamaa kila analotamka anatenda hatanii bwana mmoja akabisha akisema oooh DT hawez mpaka cogress ipitishe kimepanda kimeshuka, kilichotokea kila mtu anajua....nikuuloze Pompeo alivyoamka asubuh tu akaandika kwenye twitter makomda asiingie marekan kwan ile nchi ni yake mwenyewe? Waza mara mbil
Nimeshangaa Sana Tena Huyo kiranga nasikia anaishi Marekani ila hajui hayo[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sikuamini kiranga anaweza kuwa kilaza namna hii , halafu anaishi Marekani hahahaha Marekani ya Shambani
 
Mmarekani uchumi wake upo hivi due to dollarization,naona Trump alijui hili mkuu!! Iwapo mfano Asia,Africa yote na ulaya wakawa wananunua na kuuza bidhaa with China in Yuan ,bila SWIFT kuwepo katikati .......asubuthuuu....
Trump ni msomi wa uchumi na mwekezaji mkubwa wa muda mrefu...acha kujidanganya
 
sasa mbona wenzao Uchina na Urusi ndo wanamalizia malizia habar zakutumia sarafu ya Dola, ... yaan wanataka waipoteze.
 
Msijifanye wajuaji kuliko CIA na Vyombo vingine vya Marekani
Hata kule IRAQ na VIETNAM hao uliowataja hapojuu walijifanya wajuaji kuliko sisi ila hatimae walichokutana nacho wanakijua wenyewe
 
... duh! Wachina wanalo safari hii; huyu sio Obama ni Trump; hii sio Democrats ni Republicans! Tofauti na watangulizi wake, naona Trump ameamua kuachana na mavita ameamua kudili na uchumi na ajira kwa wamarekani. The best US President ever!
Best prez ever my nigga!

These motherfvkers been fvcking with the almighty US for long...its payback time!

As a third worlder,I cant live on this planet with China as a super power,I cant tolerate my liberties and human rights decided by a authoritarian group of criminals in Beijing..In the country even mahamaka hupati haki sababu CCP said so....heri US mahakamani naweza pata haki maana their judicial system works.

CCP wakichukua dunia we are all fuvcked,tena big time!
 
Too Much and Never Enough.

Soma jinsi mtoto wa kaka yake Donald Trump alivyomchana Trump humo na kutoa siri za familia.View attachment 1509819
"Fear: Trump In The White House".

Msome the legendary Bob Woodward alivyoandika kuhusu miaka ya mwanzo ya utawala wa Trump.

Ukivisoma hivi vitabu na kufuatikia kwa karibu habari za Marekani kila siku, utaelewa kwa nini Trump anasemwa kama anaharibu serikali ya Marekani.View attachment 1509822
Ahsante sana kwa vitabu
Nalog off
 
Too Much and Never Enough.

Soma jinsi mtoto wa kaka yake Donald Trump alivyomchana Trump humo na kutoa siri za familia.View attachment 1509819
"Fear: Trump In The White House".

Msome the legendary Bob Woodward alivyoandika kuhusu miaka ya mwanzo ya utawala wa Trump.

Ukivisoma hivi vitabu na kufuatikia kwa karibu habari za Marekani kila siku, utaelewa kwa nini Trump anasemwa kama anaharibu serikali ya Marekani.View attachment 1509822
Ahsante sana kwa vitabu
Nalog off
 
... duh! Wachina wanalo safari hii; huyu sio Obama ni Trump; hii sio Democrats ni Republicans! Tofauti na watangulizi wake, naona Trump ameamua kuachana na mavita ameamua kudili na uchumi na ajira kwa wamarekani. The best US President ever!

Hii ina ukweli gani, wakati wafanya biashara wakubwa huko Merikani pamoja na wenye viwanda na Commercial farmers walimwambia Trump kwamba a tone down rhetoric yake ya kukorofishana na Mataifa wanayo fanya biashara nao specifically Taifa la Uchina - ndio maana kundi hilo linafanya juu chini ili kuhakikisha Trump hashindi term ya pili - kundi hilo ndilo linashikilia uchumi wa USA lakini wanapinga mwenendo wa Trump kwa kuwa wanajua long term madhala ya kukorofisha na Taifa kama Uchina ambayo inashikilia nafasi ya pili Kiuchumi Duniani - mtu mwenye akili timamu hawezi kukorofishana na Taifa hilo kubwa kiuchumi, unless unataka ku-commit HARA KIRI ya kiuchumi.
 
Kiuhalisia yaaani
Vikwazo vishakua havina athari tena kama inavyotegemewa kama vikwazo vingekua na athari kama tunavyoaminishwa leo hii tusingekua na IRAN wala KOREA KASKAZINI

lakini vinaiminya nchi isiendelee kwa vikwazo hivyo... wanabaki ku survive kimkanda mkanda kama Cuba, Iran, North Korea

na hiyo ndiyo dawa iliyobaki kudili na the Chinese Communist Party nation.
 
lakini vinaiminya nchi isiendelee kwa vikwazo hivyo...

na hiyo ndiyo dawa iliyobaki kudili na the Chinese Communist Party nation.
Vinaminya isiendelee nakama ilisha endelea ?!

Vikwazo vina athari kwamataifa haya uchwara tu sio kama UCHINA.

Vikwazo alivyoekewa UCHINA na IRAN vutapicha kama ingekua taifa lolote pale AFRIKA.
 
Uchina iko kimya sana .....why???
Nalog off
They are making noise "QUIETLY'. Wachina hawashobokei sana vita ya maneno, wanashobokea vita ya kiuchumi maana inauma kuliko vita ya aina nyingine. Tafuta documentary ya BBC inaitwa 'The Chinese are Coming'. Utajifunza mengi sana kuhusu ujio wa Wachina kwenye dunia ya kisasa
 
Sawa mkuu ngoja nikajionee...
Up-to-date
Nimetembelea website wanasema " sorry,this episode is currently not available" nimekosa uhondo!
Nalog off
 
Back
Top Bottom