DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Ungesema Euro Ila sio Yuan . Pesa ya uingereza ndio inafuata Kwa mizunguko duniani baada ya DollarActually Wachina na Warusi wana Gold reserve za kutosha kwenye Vaults zao, na kizuri zaidi ushirika wa BRICS wako mbioni kutosa Dollar na kuanza kutumia Yuan, fedha za kichina zimekwisha kubarika sana Duniani -
Mimi naona majigambo ya Trump yana lengo la kujipigia debe kwa wapiga kura, si unajua tena huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake hivyo anataka ajionyeshe kwamba yeye ndie mwamba wa kuwakomesha Wachina. Uchaguzi ukiisha utamuona Trump anakwenda kumbeleza Ti Xi Ping yaishe.