Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Uzi unahusu masuala ya Covid 19 ila watu wanaingizia masuala ya uchaguzi,sasa sijaelewa Marekani kuzuia Visa kutoka Tanzania kwa sababu za corona inahusika vp na uchaguzi wetu?
 
Mabeberu Hayatupendi 😀😁😂😅😃😃😁😂🤣😅😄😄😃
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Kutopendwa kwingine tunakutafuta wenyewe.Wanakulitafuta wanakulipata .Hivyo tuwewapole
 
Sio Lazima mtubakifa na Corona awe kaipata Tanzania ivi Vijana mnaakili za kufikilia kweli yaani huwa mnaniiuziii kiss manachukia CCM msipungukiwe akili kiasi hiki na kuona kila asemalo mzungu ni sahihi nyambafu
 
Vigogo hao wamekurupuka na kudhani yanayosemwa na serikali yao ya CCM Mpya kuwa Tanzania hakuna Covid-19 ndiyo msimamo wa dunia nzima kumbe dunia hii ina mtizamo mwingine.

Tanzania na waTanzania tusijitenge na dunia hivyo tusipuuzie kufuata maelekezo ya nchi zingine kabla ya kusafiri mfano kwa kufanya search ktk mitandao CDC n.k maana hata kama Tanzania 'hakuna' corona lakini tunachanganyikana na abiria ktk airports mbalimbali tukielekea USA , Australia n.k https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/travelers/testing-air-travel.html kutakiwa kufanyiwa testing ya Covid-19 masaa 48 au siku 3 -5 kabla ya kupanda ndege kutegemea na umbali wa safari.
 
Kitenge aliendaga huko mwaka juzi, akapiga picha na video kibao ametunza kwenye gallery ya simu.

Anapost Moja moja.
Inabidi Kabudi akawakodolee mimacho hao mabeberu........Haya sasa tumeanza kusoma namba.
 
Mimi naona hapa tatizo ni kutotii world order. Maana ni kweli Tanzania corona haijatusumbua kihivyo, lakini pia hao watu wanaotuzuia kuingia kwao mbona ndio wenye vifaa vya kila aina vya kupimia?
Wanajaribu tu kutuma ujumbe kuwa hawapendi dharau.
 
We mtu umenikumbusha! Huyo Abasi ni dkt wa kitu gani dunia hii? Naona kama ni bonge la sanii vile! Sijawahi kusikia akijibu maswali kwa ufahamu, badala yake hujibu kwa kukumbuka aliyoambiwa.
Degree ya heshima kutoka Chuo hiko Uchina
 
Watajua wenyewe mimi niko mtaani nadunda tu ni kinga inaongezeka. Halafu kwanini wenzangu mnakimbia, acha tukae sote humu humu tupambane. Watatufungulia tu mwkani!

Au ninasema uongo ndugu zangu?
 
Mwambie arudishe watoto bongo ....watakuja kufa Kwa Corona uko......Sisi huku Yuko shwari......na asiposikia .....mwambie mwana kulifind mwana kuliget
 
Marekani imeanza lini kutoa visa ya miaka 5 kwa Watanzania?
 
Sasa ulitaka Rais Magufuli afanye nini? Kwani wakenya wameanza leo kusema TZ kuna corona? Kwa hiyo kama kuna corona tulale majumbani kwetu. Halafu lini wewe umemsifia Rais Magufuli kwenye issue ya Corona?? Peleka Ukenya wako huko!! Hangaika na Kunyaland yako.
Kwa taarifa yako: Siyo wakenya wamesema. Ni wamarekani. Najua english ni tatizo lako. Pole sana. Mwombe mtu akutafsirie. Sijasema watu walale nyumbani tu. Nchi inatakiwa kuwa wazi kwenye takwimu.
 
Back
Top Bottom