crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
mkuu shida vijana wetu wanashindwa ng'amua vitu vidogo kama ivo ani mtu anashindwa shirikisha akili yake anaacha makalio yafanye maamuzi ,ani ao ni us na vibaraka wake maana cia na fbi zinabidilishana taarifu katika nchi izo
Wasijali watalipwa,cha msingi ilikua ni Iran kushambulia US base haya mengine yatakua solved tu.
dodge
..uungwana ni kuomba radhi na kuwafidia waathirika.
Hata mimi nafikiria hivyo. Too sad. Watu wasio na kosa lolote wamekufa. Iran lazima ahide hii. Maana kishasema black boxes zimeharibika. I believe this in not true. Iam strongly conviced that,the plane was hit by one of the Missiles.
mkuu ani wengi humu ni ushabiki wa kidenzi ani mmarekani ni boya tu anatetea biashara yake ya kuua raia na kampuni yakeMarekan wanacngizia bomu la Iran ili kuficha kashfa ya kampuni ya boing Kama inatengeneza vitu vibovu Ila Ukrain wenyewe wamesema tatiz la kiufund
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂kabisa mkuu na wala asijichanganye kuwapa vibaraka wake atajuta maana data zitapikwa tuNilijua tu.iran msikabidhi hicho kibox cheusi kwa Boeing mtaambiwa mliweka mabomu.siasa hizi leo marekani wanacheza level moja na ccm. Time flies
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongoni mwa njama za kivita ni kuficha siri za kuuwawa kwa wanajeshi, Tramp hawezi kutangaza madhara coz alijipeleka bila idhini ya bunge kwa pamoja so angetangaza kama kafa askari ata mmoja basi angepoteza ushawishi wakeMnachekesha, yaani majenerali wako wapigwe mabomu halafu ujibu kwa kupiga makontena kisha uanze kujisifu kwamba wewe ni noma.
Mlipaswa kulipa damu kwa damu ndio muonekane wachungu, bora hata mngeua mjeda mmoja hata kama mpishi au mbeba mabox kambini.
Uenda walifikiri ni ndege ya adui, kwa kuwa ni siku ya kulipiza kisasi, ila wakubali tu na waelewane, ni bahati mbaya na jambo geni!MPYA: Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema taarifa zao za kiintelijensia zinaonyesha kuwa Ndege iliyoanguka juzi ndhini Irani na kuua watu 176 wakiwemo raia 63 wa Canada ilitunguliwa na Iran
> Rais Trump pia amedai ana wasiwasi na chanzo cha ajali hiyo
Ni kweli,anga yeyote yenye mgogoro si vema kwa ndege za abiria, tumeshuhudia pia ile ya Uholanzi, wajinga nchi za magharibi zinaweka sehemu salama askari wao, wanaruhusu ndege za abiria kuruka!