Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine


Mwanajeshi wa Marekani huwa na thamani sana, akifa mmoja hutangazwa kote, kwanza kipindi hiki Trump anatafutiwa kila aina ya kesi, kitu kama hiki hakiwezi kufichwa, Ayatolla mwenyewe alikiri kusikitishwa na hilo la makombora kutomuua hata mjeda mmoja wa Marekani.
 
.... mbona mwanzo Iran hao hao walisema ndege ilikuwa na mechanical fault na ili-delay kuruka kwa masaa kadhaa kabla ya tatizo kurekebishwa? Waajemi kweli ni washenzi! Kwa uongo nimewakubali!
 
Congress wanachokifanya ni maigizo ya democrats tu, azimio hilo halimzuii Trump kufanya mashambulizi dhidi ya Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie ww hizo sheria zinasemaje?

Kwangu mm naamini Iran anashika kile Kibox ili US hasipike habari za uzushi na ndio maana anamshirikisha Ukraine ktk uchunguzi.

I

Taratibu ziko wazi mkuu.. na unazifahamu. Sema unajaribu kuzipuuza. Katika team ya investigators lazima kuwepo Manufacturer.. ili ajifunze kosa lake kama fault ni ya device. Iran hataki kumuhudisha Boeing cz anajua Boeing=USA=CIA.
 
Taratibu ziko wazi mkuu.. na unazifahamu. Sema unajaribu kuzipuuza. Katika team ya investigators lazima kuwepo Manufacturer.. ili ajifunze kosa lake kama fault ni ya device. Iran hataki kumuhudisha Boeing cz anajua Boeing=USA=CIA.
Si uzitaje kama zipo wazi?Mbona unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma.
 
January 10, 2020
Toronto Canada

Iran plane crash investigation: what we know so far : Power & Politics

Iran's civil aviation authority has said it's following international rules and will allow other countries to participate in its investigation of a plane crash that killed 63 Canadians.

Source: CBC
 
Duh! utakuta hupo hapa kwa mtogore na unafanya anlysis ya kufa mtu kuwazidi hata C.I.A hongera mkuu.
 
Inaweza ikawa kweli au US anawahi kujitetea ili ailinde kampuni yake ya Boeing.
Irani imekiri jeshi ilitungua hiyo ndege kimakosa baada ya kupita kwenye sehemu nyeti ya anga la jeshi.
 
Aibu naona Mimi,kila siku nakwambia unajifanya unajua sana kila kitu na neno lako ndio ukweli na sheria bila kusahau unaendeshwa sana na hisia na mahaba ya kidini unakataa. Sasa leo ndio umeshushuliwa sijui Sura yako utaiweka wapi hapa Jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... mbona mwanzo Iran hao hao walisema ndege ilikuwa na mechanical fault na ili-delay kuruka kwa masaa kadhaa kabla ya tatizo kurekebishwa? Waajemi kweli ni washenzi! Kwa uongo nimewakubali!
Hawa ni devil incarnates, waliitungua kimakosa, wakaanza kusingizia vitu vya uongo, mara ngede ilikuwa na shida, mara black box imeharibika. Wakati huo Mmarekani kasema kwa ushahidi wa Salelite ndege ilipigwa makombora mawili, pressure ilivyozidi muajemi hakuna namna basi kakubali lakini akijijitetea hii ilitokana na tension iliyosababishwa na USA. Hii inatoa picha kuwa kama Tehran ambapo ndio centre ya intelligence na vifaa vya kijeshi , hawawezi kutofautisha kati ya ndege ya kivita na ndege ya abiria iliyotokea hapo hapo Tehran basi kuna shida kubwa ipo somewhere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…