MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ata Iraq kipindi wanavima hukuskia ata askari mmoja wa Marekani akifa wakati kuna maelfu wa majeshi wa Marekani wamepoteza maisha na wengi wao hawana viungo, sasa utawezaje kuamini ya juzi, yaani unaimani kuwa majeshi ya US hawafi [emoji23], mnadanganywa na movie za marekani na Vietnam aiseeeeMiongoni mwa njama za kivita ni kuficha siri za kuuwawa kwa wanajeshi, Tramp hawezi kutangaza madhara coz alijipeleka bila idhini ya bunge kwa pamoja so angetangaza kama kafa askari ata mmoja basi angepoteza ushawishi wake View attachment 1317831View attachment 1317832
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanajeshi wa Marekani huwa na thamani sana, akifa mmoja hutangazwa kote, kwanza kipindi hiki Trump anatafutiwa kila aina ya kesi, kitu kama hiki hakiwezi kufichwa, Ayatolla mwenyewe alikiri kusikitishwa na hilo la makombora kutomuua hata mjeda mmoja wa Marekani.