Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Wayahudi waliopo Tel Aviv wanasikilizia maumivu na kujificha chini ya mashimo,ila wayahudi weusi wa Liwale,Ifakara,Nzega mpaka huko Itigi,wanakaza mafuvu na kusema hakuna madhara,

Yahudi alimtesa Yesu na kumsulubu,hivyo nae achapike tu.
 
Hii inaleta ujumbe kuwa kama watu wakiamua kuichakaza hiyo nchi ya kizayuni wanaichakaza vibaya sana.
Ila USA,UK na Germany wanaibeba sana hii nchi.
Ngojea tusikie watasemaje.
 
Wayahudi waliopo Tel Aviv wanasikilizia maumivu na kujificha chini ya mashimo,ila wayahudi weusi wa Liwale,Ifakara,Nzega mpaka huko Itigi,wanakaza mafuvu na kusema hakuna madhara,

Yahudi alimtesa Yesu na kumsulubu,hivyo nae achapike tu.
Wanapiga simu kusikiliza kama ni salama kuibuka juu.Iko siku wakati wanasikiliza jawabu linatua jengine kutoka kwa Hizbullah na mara jengine kutoka Syria.
 
Unaangalia Al Jazeera ya kwa mtogole
Sasa mifumo ya Ulinzi ya kazi gani wakati dude limeshapigiwa mahesabu limeonekana linaenda kudondokea majanini?
Houth wanazjijua akili zenu kwamba Kombora hata likidindokea majanini lazima mjae misikitini kushangili na kula na kunyea, basi wakaona ili wawafurahishe na Iran aone hela yake inatumika vizuri basi kuliko litunguliwe, bora walielekeze lidondekee sehemu isiyo na watu, wakilenga maeneo ya watu litatunguliwa juu kwa juu.

Wakaamua kulenga manyasi na kweli mmeripuka kwa vigelele 🀣🀣🀣
 
Yani wamerusha ili mradi lifike tu bila kupata targets. Na akili za Hamas wa Mpanda mashariki wa JF wanapongezana kispoti.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkijibiwa msije mkaanza kulia Israel anaua wanawake na watoto
 
Yani wamerusha ili mradi lifike tu bila kupata targets. Na akili za Hamas wa Mpanda mashariki wa JF wanapongezana kispoti.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa jamaa huwa jamaa ukijaribu kuwachukulia na kuwaelewa kama binaadam wengine utaishia kuvurugikiwa na akili tu. Ili kwenda nao inabidi uwachukulie kama kundi lenye mahitaji maalum
 
Haiaminiki hilo.Pamoja na hivyo huo moshi pekee unasababisha shinikizo la damu.Na kauli kwamba kombora kutoka Yemen kutamkwa na vyombo vya habari kutoka Israel nalo linatisha wakati Yemen wala haipakani nao
 
Hawa jamaa huwa jamaa ukijaribu kuwachukulia na kuwaelewa kama binaadam wengine utaishia kuvurugikiwa na akili tu. Ili kwenda nao inabidi uwachukulie kama kundi lenye mahitaji maalum
Wenye uhitaji maalum ni hawa huku.
 
Attachments

  • Screenshot_20231222-004828.jpg
    47.1 KB · Views: 1
Hii vita Israel imeshindwa,Inakuaje Taifa teule linapigana vita mwaka mzima tena Taifa lenye teknolojia ya juu,wasomi wakubwa sapoti kubwa toka Kwa watawala dunia unakuja kusumbuliwa na wavaa ma Panjabi tena Kwa mawe
 
Hii vita Israel imeshindwa,I akuaje Taifa teule linapigana vita mwaka mzima tena Taifa lenye teknolojia ya juu,wasomi wakubwa sapoti kubwa toka Kwa watawala dunia unakuja kusumbuliwa na wavaa ma Panjabi tena Kwa mawe
Hapo wamerusha jiwe?
 
Haijalishi hivi Israel unaweza fananisha na wapalestina? Palestina kumi ndio Israel Moja!
Hizo ni tafsiri za kujidunisha.Silaha wanazo na wanazitumia.Kutaka kuwaonesha ni wa hali duni ni kutafuta waungwe mkono na watu wasiotumia akili zao vizuri.
 
Lamamayeeee hii HAPA HABARI.
NA IMEANDIKWA NA CHOMBO CHA ISRAEL WENYEWE.
HOUTHI KALIPUA KATIKATI YA ISRAEL NA MLIPUKO UMESIKIKA.
AYA BISHENI NA HAPAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3096225View attachment 3096226
Vita na mapigano sio mchongo!
Israel inayolindwa na west wote 24/7 wanaishi kama kuku mwituni.
Mwewe akipita, wote wanakimbilia mapangoni.
Je kuna amani hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…