Unadhani hapa Tanzania Inawezekana kwa rais aliyeko madarakani kufanyiwa kama Trump?Hiyo ni demokrasia kubwa mno.Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Unadhani hayo ni matamko kama ya Meko anayesema nikirudi nikute madarasa yamejengwa wakati anajua hela hakunaHuyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Tatizo sio ya aliyekuwepo TATIZO NI KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA WA MTU,ambao kila siku wana uhubiri.Unadhani hapa Tanzania Inawezekana kwa rais aliyeko madarakani kufanyiwa kama Trump?Hiyo ni demokrasia kubwa mno.
Ukishakua masikini na omba omba utababaishwa tu. Hakuna namna.Hopeless!! Tumeshasema hatubabaishwi. Mwambie ameshindwa hata kulinda majengo ya Bunge mpaka wahuni wakavamia na kuharibu mali na kuua askari polisi wao.
Kwamba haujui kwanini account ya Trum ilifungwa?Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Sijui sababu naamini US NI WANAAMINI KATIKA UHURU WA KUJIELEZA,kumfungia acc Trump manake UMEMINYA UHURU WA KUJIELEZA WA TRUMP.Kwamba haujui kwanini account ya Trum ilifungwa?
Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Hivi Kwa mfano tu mdogo wamfungie Rais asiingie nchini mwao, itasaidia nini Wakati Leo anazaidi ya miaka mitano hajawahi hata kufahamu gharama za kwenda kwao?Kimenuka !