Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Hapo nimeona Vijana wawili tu, Gody Mushi na Gody Mushi......any way sio mbaya nao wametoa yao ya moyoni.
 
Hahaha hao hawana pesa ya kwenda Marekani hata wasingefungiwa sawa tu....
Hawa ndiyo main characters na kufungiwa kuingia Marekani kunahusu kuhudhuria mikutano pia. Kwakifupi nchi inatengwa.
 
Marekani kwani kumekuwa Peponi mkuu Hadi mtu ajisikie vibaya asipofika huko?
Kama hujasafiri nje huwezi kujua machungu ya kunyimwa visa popote pale si Marekani tu inaitwa denied entry acha kabisa, ukinyimwa visa ya Marekani uko likely kunyimwa na ya EU.
 
Katika hao kuna atakaeathirika na kukosa ugali mezani kwake sababu kazuiwa kwenda USA kweli?

Mkuu hatuongelei kuathirika kwa msosi mezani ,hapa tunaongelea kunyimwa viza,kama msosi hata wanaopata visa sometimes wanakosa msosi mezani.
 
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."...
We sympathize with Mike Pompeo a devil's mouth piece agent.

In the contrary we urge the Government of America to reverse course and hold accountable those responsible for the flawed election, violence, cowardice terrorism and intimidation. The United Republic of Tanzania will continue to closely follow developments in USA and will not hesitate to challenge against individuals complicity in undermining democracy and violating human rights in the USA that has been nurtured for over 200 years ago.

Finally, we emphasize that the United Republic of Tanzania is a sovereign state that shall not bow down to concede the imperialist malicious intent against other countries contrary to UN treaties and that at present the stance is not directed at the USA people rather the sitting regime that seems to be fighting in favour of personal interests advancement. We commend the Americans who are wary of the situation being created by the outgoing regime, but also have honestly participated in the recent election peacefully and in good faith despite the hiccups, and we will work together with all those committed to advancing democracy, human rights, respect, trust and mutual prosperity for their people and bilateral relationship.

We stand to be criticised, advised and ecnouraged to uphold the core values, culture and economic empowerment for the best practce and advantage for teh duo countries.....no country in the world is above the other with all rights to suppress, provoke on the way they feel it right, therefore treating each other dignity is very important to be consistently adhered.

Mleta mada, bado tu mnatuletea habari za Pompeo & Trump the losers? Poleni...........waanze kuweka hata kwa kila mtu kasoro wapinzani tu ili tuone survival yenu itakuwa wapi!!!! This is a pitfall assault, too pathetic indeed
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Kwa hiyo unataka democracy ya kuibiana kura na kutekana tekana, idiyott
 
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."...

Naona Trump anamalizia dakika zake za mwisho kwa kuhujumu baadhi ya nchi, wafungwa ambao wangesamehewa trump amewanyonga dakika za mwisho kabla hajaondoka white house, sijui kwa sababu wale wafungwa walikuwa ni weusi ? Maana nna hakika wangekuwa wafungwa wa kizungu asingetoa amri ya kunyongwa.

Kama yeye mwenyewe analalamika kuibiwa kura, sasa kinachomshangaza Tanzania kimekuwaje kigeni kwake.

And by the way Maafisa wa serikali kutokwenda marekani (kunyimwa visa) kutaathiri vipi uchumi wetu kwa hii serikali yetu ya bana matumizi.

Mfano Makonda alipozuiwa kuingia marekani kumei cost vipi Tanzania.

Binafsi naona ni vikwazo visivyo na madhara na ambavyo havina kichwa wala miguu.
 
Ni sawa tu wakideal na wahusika pekee ila mambo ya sanctions kwa nchi hapana kwakweli, Mungu epushia mbali
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Naona Mataga mmeanza kujiumauma kwa kiingereza chenu Cha tia maji tia maji🤣🤣🤣
 
Hivyo vikwazo viwaburuze hao hao wachafuzi wa uchaguzi sisi Wengine havituhusu!
 
Upuuuuzi mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Sasa Unafikiri Ujinga wako hapa ndo utawazuia wasimkamate Magufuli, na Majambazi wenzake wa Kuiba Uchaguzi?
 
Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui....
Kwa hili uko sahihi, sio kwamba kuna sura za wazalendo, bali wote ni washamba hivyo hawathubutu kwenda Marekani.
 
Back
Top Bottom