Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa Wana succession plan ndugu siyo Kama hizi shithole countries.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Marekani kwani kumekuwa Peponi mkuu Hadi mtu ajisikie vibaya asipofika huko?Waliokuwa wanauliza Pompeo ndio nani nafikiri sasa watamfahamu zaidi.
Hawa ndiyo main characters na kufungiwa kuingia Marekani kunahusu kuhudhuria mikutano pia. Kwakifupi nchi inatengwa.Hahaha hao hawana pesa ya kwenda Marekani hata wasingefungiwa sawa tu....
Kama hujasafiri nje huwezi kujua machungu ya kunyimwa visa popote pale si Marekani tu inaitwa denied entry acha kabisa, ukinyimwa visa ya Marekani uko likely kunyimwa na ya EU.Marekani kwani kumekuwa Peponi mkuu Hadi mtu ajisikie vibaya asipofika huko?
Katika hao kuna atakaeathirika na kukosa ugali mezani kwake sababu kazuiwa kwenda USA kweli?
We sympathize with Mike Pompeo a devil's mouth piece agent.Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."...
Walivuruga kwa 'maelekezo' tuanzie hapo.'Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Kwa hiyo unataka democracy ya kuibiana kura na kutekana tekana, idiyottKwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Kamanda mbwakachoka kaolewa na Robert Amsterdam!Huna akili, muda wote kupost upuuzi.Kwani kwenda Usa mpaka uwe na sura ya kishoga kama yako?
Wazururaji mnajulikana tu!jinga la kutupa hii, limsukuma debweda
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."...
Naona Mataga mmeanza kujiumauma kwa kiingereza chenu Cha tia maji tia maji🤣🤣🤣Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Sasa Unafikiri Ujinga wako hapa ndo utawazuia wasimkamate Magufuli, na Majambazi wenzake wa Kuiba Uchaguzi?Upuuuuzi mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Kwa hili uko sahihi, sio kwamba kuna sura za wazalendo, bali wote ni washamba hivyo hawathubutu kwenda Marekani.Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui....