Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Wanataka population ibaki 500 million hahahaWaache tupumzike shida tulizonazo na hii vita ya Russia tu inatosha wasituletee majanga tena watatumaliza na njaa hivi hawa wanatafuta nini hasa? sisi badala ya kuwaangalia wao kama mifano mizuri kwamba mambo ya vita ya miaka 40 huko wameshavuka wanakimbizana na maendeleo leo wao ndio wamekuwa shida ya dunia hii. Kama kuna kitu kitatokea baina ya nchi mbili hizi basi ni janga kubwa duniani sote tunajuwa utegemezi wetu kwa China na hili litaleta shida zaidi huko Russia na Ukraine. Huyu mama anataka nini?
Utakua mvaa kobazi tu ndo maana una reasoning ya hovyo... akitua Taiwan nakufwata hapo mtambani na mlinzi wangu akupakue kidogo akili itulie.Thubutu. Marekani aibu nyingine anajitengenezea mwenyewe. Naona upo kwenye ndoto. Angalia usijikojolee tu
Kunywa maji yakutosha!Utakua mvaa kobazi tu ndo maana una reasoning ya hovyo... akitua Taiwan nakufwata hapo mtambani na mlinzi wangu akupakue kidogo akili itulie.
Sibiri utaona kitu kizito kwa usa [emoji631]Kuna mijamaa ilijishaua sana huku niliwaambia mmareksni haogopi vitisho ,waliponda sana haya sasa tuone mchina atafanya nn
Hawawezi kuishambulia labda wanachoweza kufanya ni kutuma ndege za kivita kuizuía isitue.Inategea na situation, mtu ameshakukataa mapema peupe hakutaki umtembelee. Huwaga hakjna safari za kulazimisha kama hii ya sasa
Taiwan ilikuwepo tangu awali na China wameanza kutoa vitisho tangu walipopata taarifa ya ujio wake.Je, nini kimebadilika ghafla, maana kwenye ratiba Taiwan haikuwepo, ila imekuja ghafla badala ya kwenda South Korea kutokea Singapore, ataenda kulala Taiwan.
Siyo kwa china na taiwani labda useme china na usa [emoji631] zikipigana vita ...ila kama china kuipiga taiwani hiyo ni issu ndogo tu kwa china ...maana china kwenye kupiga wahalifu haina cha haki za binadamu siyo kama urusiKatika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia...
Wametuma ndege na meli 👇Hawawezi kuishambulia labda wanachoweza kufanya ni kutuma ndege za kivita kuizuía isitue.
Wewe unahisi mfano putin anaweza kupiga bomu aliko raisi wa Ukraine?
Hakuna mtu anayetaka vita ya ajabu ajabu hasa kipindi hiki ambapo uchumi wa dunia unapita kwenye mtikisiko
cheusi mangalaHuwa namuona kituko anavyojinyenyekesha kwa Hangaya... hovyo sana.
Wavaa kobazi hamna uwezo wa kufikiri zaidi ya sinia ya pilau na kusogea chooni huku mkichambia vile vikopo vyenu vyenye kutu. Huyo Pelosi anatua Taiwan na hamna kitu China atafanya.Endelea kuota ndoto za asubuhi
Pumba
China kuwekewa vikwazo vya uchumi ilo jambo sahau kwenye hii dunia hayupo mwenye kufanya ivyo kampuni kubwa zote unazozijua za marekani zimewekeza china kwa mabilioni ya dola kuliko walivyowekeza nyumbani kwao kama alishindwa trump biden awez fanya uwo ujinga kamweKatika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia...