Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Anaona aibu kuback off watamwona kaogopa, kwenda pia hana hakika na yajayo, basi yuko njia panda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asipokwenda itakuwa aibu sana na akienda itakuwa aibu kubwa Sana Kwa china ,

I bet Nancy haendi china Hawawezi kukubali huo ujinga Endapo wakikubali basi wajue fika kuwa ndio watakuwa wameikosa Taiwan jumla
 
USA wanatapa tapa tu watajua hawajui tuone Sasa huyo Nancy akienda tumeshachoka matamko
 
Marekani Biden aliogopa kuingia kwa Nancy Taiwan, hatujui kimetokea nini hadi imebadilika
 
Marekani Biden aliogopa kuingia kwa Nancy Taiwan, hatujui kimetokea nini hadi imebadilika
Wasipokwenda lazima watapoteza ushawishi wa kisiasa na upepo utazidi kuhamia Kwa Russia na china so hii safari ni muhimu kwao ktk kurejesha nguvu ya ushawishi.

Na ni muhimu Kwa china kuizuia Ili waweze kujitangaza Zaidi kimataifa kuwa wao ni wababe wapya Duniani kama ilivyo Kwa Russia now
 
Yani hapa patamu sana.... Ngoja tusubiri tuone hili policha
 
Marekani keshaapa ataingia Taiwan na washirika wake wamesema watamsaidia Taiwan
 
Kwa hiyo Marekani ndiye mwamuzi wa nchi zingine? Mbona Russia anapoivamia Ukraine, wanasema yenyewe ni sovereign state?

US ndiye chanzo cha ugaidi duniani

USA anajiona Yuko juu ya Sheria, mikataba, taratibu, makubaliano yoyote kwenye hii dunia hayamhusu.

USA anajiona kama Mungu wa dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…