Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Kuna watu hatujalala tangu jana tunahitaji kujua hatima ya Spika wetu
 
Watu nawashangaa sana, hivi watu kwa akili zenu mnafikiri China atafanya nini hapo.
 
Sio Kwa beat hili la china sio poa ujue Leo nimeona matank yanayo eleza juu ya Maji na kutembea nchi kavu yamejazana, halafu hao ni kawaida yao kutoa matamko wasikupumbaze [emoji1787][emoji1787]View attachment 2311893
Au China alijua tukio hili lazima lifuatiliwe ulimwenguni kote, so akaona afanye promo ya silaha zake? Hii itakuwa zaidi ya mara 1,000,000,000,000,000 ya Royo Tua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…