Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Watu zaidi ya laki 3 wanaifuatilia flight SPAR19 katika mtandao wa flight24 ndege USAF iliyombeba speaker wa USA
20220802_152120.png
 
Kuna watu hatujalala tangu jana tunahitaji kujua hatima ya Spika wetu
 
Sio Kwa beat hili la china sio poa ujue Leo nimeona matank yanayo eleza juu ya Maji na kutembea nchi kavu yamejazana, halafu hao ni kawaida yao kutoa matamko wasikupumbaze [emoji1787][emoji1787]View attachment 2311893
Au China alijua tukio hili lazima lifuatiliwe ulimwenguni kote, so akaona afanye promo ya silaha zake? Hii itakuwa zaidi ya mara 1,000,000,000,000,000 ya Royo Tua.
 
Back
Top Bottom