Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

NASKIA KANISANI MNATIBUANA MITARO, MNAAMBIWA NDIO KONDOO WA BWANA ATAENDA MBINGUNI
 
Urusi hana ubavu mbele ya USA/// Urusi ni ka-nchi kadogo kanategemea vimauzo vya silaha zake but all in all hawez kushindana na USA na washirika wake
Mtanzania wa chato ndo anazungumza haya.wenzio ulayA magharibi yote wamejaza base za America kuiogopa Russia we huku uswahilini unaongea utadhani Russia Ni capeverde.
 
Umeongea pumba..hivi duniani Kuna nchi yenye rasilimali za Kila aina so mafuta,madini na mazao kuizidi urusi?
Kwnn haijavamiwa na marekani?
 
Huyo ni msemaji wa Ikulu hana ukubwa wowote ule zaidi ya kutoa habari kwa umma
 
C
Mkuu chanzo cha taarifa tafadhali kama hutajali.
 
MOSSAD na CIA wametisha sana asee yani hii mission wamejua kuisuka kitaalamu,kitakachofata nadhani watasuka mpango mwingine ambapo meli ya kivita ya Marekani itashambuliwa (kwa mines,etc) zigo ataangushiwa Iran halafu hapo ndo picha litaanza.

Hii movie naona inafanana na ile ya Operation praying mantis
 
Mkorea anatengeneza nuclear. Hilo ni tishio kwa marekani na nchi nyingine duniani. Sasa mbona anashindwa kumzuia. Issue sio mafuta tu kama unavyofukiria. Afghanistan kuna mafuta? Mbona alishambulia
 
Pompio mzee ndio kasema hiyo sio maneno yake huyo jamaa
 
Watumiaji wa super sina tujipange kuinunua 50
 
Mkorea anatengeneza nuclear. Hilo ni tishio kwa marekani na nchi nyingine duniani. Sasa mbona anashindwa kumzuia. Issue sio mafuta tu kama unavyofukiria. Afghanistan kuna mafuta? Mbona alishambulia
Safii sana mkuu, umemjibu kwa facts
 
Mkuu je una his Iran itavamiwa kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…