Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

Tatizo ni uporaji wa chakula hicho unaofanywa na kundi la HAMAS. Kumbuka kwamba HAMAS sio walengwa wa misaada hiyo ila wao kama wapiganaji dhidi ya IDF wanatumia ubabe wa kunyang'anya na kuteka malori yanayosafirisha chakula na vifaa tiba hivyo. Ukileta fyoko-fyoko wanakulamba kichwa chap na kama Dereva na Wahudumu ni watu chini ya wa UN, HAMAS fasta wanasema ni kazi ya IDF.
 
maelezo hayo ni kusema vita imekuwa kali.Kila mmoja ni mjanja kuliko mwenzake.
Hatimae mshindi atakuwa Hamas.
 
maelezo hayo ni kusema vita imekuwa kali.Kila mmoja ni mjanja kuliko mwenzake.
Hatimae mshindi atakuwa Hamas.
Ni suala la muda tuu; kitaeleweka. Ila Wapalestina walitarajia kupata walau faraja kutoka kwa wapiganaji wa HAMAS ambao wanadai kuwapigania Wapalestina.
 
Marekani hana ubavu wa kuilazimisha Israeli
 
Israeli ana control gaza ili kudhibiti ugaidi
 
Sasa km bandari inajengwa kwa ajili ya israeli kupokea silaha kwa mataifa rafiki

Iyo bahari ya shamu ina umuhimu gani?
Marekani na Israel wanamuheshimu sana Hizbullah.
Vita vikaichanganya ana uwezo mkubwa wa kuzipiga meli zote zinazoelekea Israel bandari ya Haifa tena kwa uhakika kabisaj tofauti na Houth ambao mara nyingi wanapiga meli tofauti.
 
Nilikuwa namuelimisha huyo ndugu yako ambaye hata hajui bahari ya shamu inakalia wapi

Israeli na USA hawezi kuogopa magaidi ya hezbollah

Kwasababu ndani ya nchi yao hawana ushawishi wanategemea pesa za wa persia kuendesha vita visivyokuwa na mbele wala nyuma

Viongozi wa serkali na wananchi wa lebanon hawajawahi kutaka vita na israeli

Vita ili iwe na nguvu lazima asilimia kubwa ya wananchi waunge mkono
Marekani na Israel wanamuheshimu sana Hizbullah.
Vita vikaichanganya ana uwezo mkubwa wa kuzipiga meli zote zinazoelekea Israel bandari ya Haifa tena kwa uhakika kabisaj tofauti na Houth ambao mara nyingi wanapiga meli tofauti.
 
Ndiyo malipo ya kumchokoza usiyemuweza.
 
Marekani na Israel wanamuheshimu sana Hizbullah.
Vita vikaichanganya ana uwezo mkubwa wa kuzipiga meli zote zinazoelekea Israel bandari ya Haifa tena kwa uhakika kabisaj tofauti na Houth ambao mara nyingi wanapiga meli tofauti.
Ndiyo nani huwa anakudanganya utudanganye hivyo?
 
Marekani angekuwa na nia ya kuwasaidia Wapalestina angeishinikiza Israel kusitisha vita.
Bila Mateka kuachiwa? Marekani hajawahi kuwa mjinga kama nyie wa upande wa pili
 
Hakuna bandari inayojengwa Gaza, hayo majambazi yanaenda kuchimba visima vya gesi, wametumia msamiati wa bandari ili wakianza uchimbaji wa visima vya gesi wasipate watu wa kuwahoji wakidhania kinachojengwa ni bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…