Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

Ni wahuni tu, na hiyo bandari ni ubunifu kwa ajili yakuisaidia Israel kupokea silaha kutoka mataifa washirika pamoja na marekani yenyewe kwasababu Houth wameziba njia ya awali iliyozoeleka(red see)
Kweli Siri ya sifuri ndo hii kwani Tel Aviv hakuna bandari ya kushusha wakiamua ....labda kama ungeniambia bandari ya maandalizi ya kuchunguza Mafuta...dooph
 
Back
Top Bottom