Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Naongea na mtoto asiyejua gharama ya uhuru!Hawakuwa wajinga kiasi cha makazi yao yote kuharibiwa na wajinga wasababishi wakiwemo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naongea na mtoto asiyejua gharama ya uhuru!Hawakuwa wajinga kiasi cha makazi yao yote kuharibiwa na wajinga wasababishi wakiwemo.
Unaendeshwa na hisia za kitoto kama ambavyo umedhani tu unaongea na mtoto.Sina cha kukusaidia zaidi ya kukushauri ujifunze kukubali ulegevu wako na kutumia akili nyingi.Naongea na mtoto asiyejua gharama ya uhuru!
Nimeshaelewa najadili na mtu wa namna gani so acha nipite kushoto tu!Usiku mwema!Unaendeshwa na hisia za kitoto kama ambavyo umedhani tu unaongea na mtoto.Sina cha kukusaidia zaidi ya kukushauri ujifunze kukubali ulegevu wako na kutumia akili nyingi.
Ni kweli hilo lipo ila lakini inasikitisha zaidi kwamba wasomi wetu/wataalam wetu ambao ndo tuliwategemea watuepushe na janga hili lakini badala yake ndo wamekuwa vinara wa kututweza na kusaini hiyo Mikataba ya Kilaghai. Very sad.Huu mgogoro una utata mwingi sana. Pande zote mbili zina visasi vya balaa. Mmarekani yeye anajulikana ni mnafiki aliyekubuhu na hana huruma hata chembe. Hakuna kitu mmarekani atafanya bila kujua atanufaika vipi. Tukiachana na mambo ya Gaza hata huku Afrika madini yetu yanachotwa na mmarekani kwa mikataba ya kilaghai. Hakuna mkataba nchi zetu zimesaini na mmarekani ukawa na maslahi kwa nchi zetu.
Mkuu kweli wasomi wetu wanakera ila kuna muda mwingine ni hatari sana kwao kuwavimbia mabeberu. Hawa jamaa ukiwavimbia sana wasipokuua basi watahakikisha wanakupiga fitina moja balaa. Mabeberu kudili nao inahitaji kujitoa sana. CCM wanajitahidi sana kwenda nao sawa.Ni kweli hilo lipo ila lakini inasikitisha zaidi kwamba wasomi wetu/wataalam wetu ambao ndo tuliwategemea watuepushe na janga hili lakini badala yake ndo wamekuwa vinara wa kututweza na kusaini hiyo Mikataba ya Kilaghai. Very sad.

OK. Lakini bado hata CCM yenyewe hawajatulia yan wapo-wapo tu na maneno meeengi.Mkuu kweli wasomi wetu wanakera ila kuna muda mwingine ni hatari sana kwao kuwavimbia mabeberu. Hawa jamaa ukiwavimbia sana wasipokuua basi watahakikisha wanakupiga fitina moja balaa. Mabeberu kudili nao inahitaji kujitoa sana. CCM wanajitahidi sana kwenda nao sawa.
Ni hatariMkuu kweli wasomi wetu wanakera ila kuna muda mwingine ni hatari sana kwao kuwavimbia mabeberu. Hawa jamaa ukiwavimbia sana wasipokuua basi watahakikisha wanakupiga fitina moja balaa. Mabeberu kudili nao inahitaji kujitoa sana. CCM wanajitahidi sana kwenda nao sawa.
Okay! Wewe mwenye nia nzuri umefanya nini kusaidia wapalestina?!Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel.
Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema inatarajia kujenga bandari ili kurahisisha ufikishwaji wa misaada huko.
Bandari hiyo inayotajwa kuwa ni ya muda haitaweza kuanza kazi mpaka baada ya miezi miwili pale itakapokamilika.
Kuna umuhimu gani wa kujenga bandari kupeleka misaada hapo baadae badala ya kuilazimisha Israel ifungue mipaka na kupitisha malori ya misaada ambayo yamekuwa kwenye foleni ya kusubiri muda mrefu.
😀😀Leo umetepeta? Unaongea kwa upoole! Zile Tambo za IDF hawataingiza Gaza majeshi watakiona Cha mtema kuni hazipo tena anyway wote sisi ni binadamu ndo maana hata Hamas walipoingia kuuwa watu kule Israel bila kujali ni wayahudi au la!(maana waliua Hadi watanzania ) tulipiga Sana kelele nyie mlishangiliaWatu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel.
Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema inatarajia kujenga bandari ili kurahisisha ufikishwaji wa misaada huko.
Bandari hiyo inayotajwa kuwa ni ya muda haitaweza kuanza kazi mpaka baada ya miezi miwili pale itakapokamilika.
Kuna umuhimu gani wa kujenga bandari kupeleka misaada hapo baadae badala ya kuilazimisha Israel ifungue mipaka na kupitisha malori ya misaada ambayo yamekuwa kwenye foleni ya kusubiri muda mrefu.
Kupinga ugaidi na mauaji ya kikatili ya hamas ni roho mbaya!?Nimekujulisha na wewe ili ubadilike kutoka roho yako mbaya.
Pinga na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya wapalestina!Kupinga ugaidi na mauaji ya kikatili ya hamas ni roho mbaya!?
Israeli ni dola huru ina haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi pale inaposhambuliwaPinga na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya wapalestina!
Vp kuhusu Palestina,wenyewe hawana haki ya kujilinda?Ila Israel ndio mwenye hiyo haki tu!Israeli ni dola huru ina haki ya kujilinda dhidi ya ugaidi pale inaposhambuliwa
Kwani Hamas hawataki vita? Mm nachojua Hamas walianzisha vita October 7 na walitegemea Israel angejibu. Kwa hiyo tuache wapigane tusubili mshindiMarekani angekuwa na nia ya kuwasaidia Wapalestina angeishinikiza Israel kusitisha vita.