Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Sasa kama ni Taifa huru linalopaswa kujiamulia mambo yake

Kwanini Mmarekani anasema haitaruhusu ikubaliane na mpango wa China huko sio kuingilia mambo ya Ukraine pia kama wenyewe wakiukubali huo mpango.
 
Subiri wewe US hiyo vita ya Ukraine wameshapata mwanya kumtia mtu adabu na hawatamuacha ndio maana yake, tulieni dikteta akomeshwe
.
Screenshot_20230313-143119.jpg
 
Siku akili ikimuingia atashtuka nchi yote ni jangwa na magofu, kule middle east na Iran China kaenda kupatanisha, jana Assad baada ya kumaliza ziara yake Moscow kaenda mojakwamoja dubai, dunia hii bila ya hawa mashoga ingelikua na amani sana, huyu shetani atashindwa inshaAllah
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Marekani inasema Ukraine ni taifa huru linalojitawala. Hapo hapo inasema haitairuhusu Ukraine kukubali mapendekezo ya China kuleta amani. Sasa uhuru wa Ukraine uko wapi kama wanabakia kuambiwa na Marekani cha kufanya? Huo ndio ubabe wa Marekani mpaka anasema upumbafu ambao washabiki wake wanashindwa kuuona pamoja na kwamba uko wazi hadhaarani.
 
Back
Top Bottom