Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Taifa gani huru halina mamlaka ya kujitafutia Amani??
 
Kweli US jana kasema kwa sasa hakuna kusitisha vita, ni mwendo wa kibano hadi kieleweke

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sergei Lavrov naye anasema kuwa kuwa ili Vita vikome, lazima maeneo yaliyo nyakuliwa na Russia kutoka Ukraine yatambuliwe na jamii ya kimataifa kuwa ni maeneo ya Russia, mashtaka dhidi ya Putin yafutwe, luhgha ya kurusi ipewe hadhi,....
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Kiingereza ni kigumu hivi ndugu? Wapi imesemwa haya:

"John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013."

Mwongozo wako tafadhali ..
 
Sasa ina uhuru gani Kama mambo yake yanaamuliwa na USA

Kulikoni kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Wapi source ya maneno haya:

"John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013."

Bila source hii ni chai tu kama inayoshushiwa kwa Maharage.
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Hiyo picha na tweet ni ya John Kirby? Aaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu wapinzani wake wote wa kweli wanaanguka kutoka maghorofani, wanakula sumu ya polonium na wengine wanaishia jela unasema sio dikteta!
Putin sio dikteta sema ni mtu anaeongoza kwa haki always mwanadamu ndivyo alivyo pale utakapo fanya haki au kumwambia ukweli lazima akuone mbaya
 
Kwa sababu hiyo ni fake news, propaganda au mleta uzi hajui Kingereza.
Sasa kama ni Taifa huru linalopaswa kujiamulia mambo yake

Kwanini Mmarekani anasema haitaruhusu ikubaliane na mpango wa China huko sio kuingilia mambo ya Ukraine pia kama wenyewe wakiukubali huo mpango.
 
Referendum iliyojaa uchocheze wa putin aendelee kubaki madarakani, nani anapiga kura duniani kiongozi abaki madarakani milele? kiongozi wa upinzani urusi mpaka leo kamueka jela hamtoi, putin ni mfano madiktea waliokubuhu ulimwnguni
Yule mpinzani anatakiwa anyongwe hadharani ni msaliti
 
Mtu wapinzani wake wote wa kweli wanaanguka kutoka maghorofani, wanakula sumu ya polonium na wengine wanaishia jela unasema sio dikteta!
Dawa ya msaliti ni kifo tu

Viva PUT IN
 
Back
Top Bottom