Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Tumswalie mtume kijumbe muhammad.
Ndo nini hii,,, alafu nashangaa kwa nini mnapenda kuhusisha hii smo na mambo ya dini,, kwani huyo Putin na Russia yake waislam??? Au waislam ndo waliomwambia Putin awapige Ukraine??
Anzisha uzi wako wa maswala ya dini ila hapa ni smo Urusi vs Ukraine
Acha chuki wewe
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.


Hili Taifa halinaga haya yaani..

So what
 
Ndo nini hii,,, alafu nashangaa kwa nini mnapenda kuhusisha hii smo na mambo ya dini,, kwani huyo Putin na Russia yake waislam??? Au waislam ndo waliomwambia Putin awapige Ukraine??
Anzisha uzi wako wa maswala ya dini ila hapa ni smo Urusi vs Ukraine
Acha chuki wewe
Watu aina hiyo wamekosa maarifa ya kujitambua humu kwasababu hatujuani tu lakini ungemuona tu ungejia akili zake zilivyo kutokana na muonekano wake tu
 
Wakati Urusi anaiba cremia Zelensky alikuwa muigizaji kama joti.
Urusi ina Options mbili iendelee kupigana ndani ya Ukrein ama niondoke ndani ya halali ya Ukraine kinyume na hapo hakuna makubaliano yoyote yatakubalika.

Kuna udhaifu Us imeuona kwenye jeshi la urusi na hawawezi kuiacha hii opportunity iliyojileta yenyewe bila kuhakikisha Urus inabaki kuwa kama Noth Korea.
Labda urusi ya chato
 
Izo mbinu ziko wapi mkuu mbona Kyiv walitimua mbio jeshi la urusi hadi leo wako pembeni pembeni huko mbinu zao ziliishia wapi? ule msururu wa vifaru karibu 64 ukubwa wake uliishia wapi, naona vimebaki maonyesho pale Kyiv

Ivi wajua leo mvimba macho XI yuko Moscow anafanya mazungumzo ya Putin vita iishe? ni kwa sababu yeye ndio alishawishi lakini matokeo yake na matarajio yake yameenda tofauti hata yeye anaumia.,

Mbinu za Putin ilikuwa ni 72hrs tu amemaliza kazi/operation Ukrean lakini sasa mwaka anapigana nje ya bajeti na makundi ya kukodi jeshi lake lishaenda na maji nusu na robo sasa eti superwpower anatunia wafungwa vitani (Wagner Group) kwisha habari yao
Hata USA alitumia kundi lake la blackwaters kule Iraq. Au kipindi icho ulikua huna akili au ulikua hujazaliwa?
 
Hivi Marekani ni nani ktk Dunia hii hadi kuingilia mambo ya nchi zingine tena anazoita nchi huru. Ndio maana watu wenye akili timamu na wanaoijua vyema historia ya Marekani na nchi za Magharibi kupitia umoja wao wa NATO na EU wanamuunga mkono Putin kwa anachokifanya huko Ukraine.

Mimi niseme, angekuwa ni Marekani na vibaraka wake wa NATO na EU wamevamia huko Ukraine au nchi yoyote ile Duniani hata pasipo na sababu za msingi km walivyofanya huko Iraq, Libya, Afghanistan, na kwingineko hakuna mtu au kikundi Cha watu kingetoa neno au kukohoa. Siyo ICC Wala asasi yoyote ya kimataifa ingetoa karipio juu ya uvamizi huo bali wangebakia kubweka tu km mbwa aliekosa riziki kwa jirani.

Go ahead Putin unapigania kile ambacho hata Marekani na vibaraka wake wangekuwa wakipigania kwa masilahi yao binafsi.

Kwanini kuku akinya tuseme amejisadia lakini bata akifanya hivyo tuseme kaharisha. Marekani na washirika wake (vibaraka,) wanasahau msemo wa "What goes around comes around" na " A lier must have a good memory).
 
Mtu amebadilisha katiba kwa nguvu aendelee kubaki madarakani unasema sio dikteta,
Sasa ulitaka amuachie nchi Shoga ili awauze kwa Wamarekani. Putin ni Raisi imara na aliye prove uwezo wa kuliongoza taifa la urusi. Alishawahi kuachia madaraka ila akarudishwa ili kukabiliana na changamoto za mashoga wa USA.
 
Kama vita hii ikiendelea na ikasambaa hadi nje ya Ukraine(ikaenda NATO) nawiwa kusema R. I. P. USA
NATO lazma iangamie sababu kuna vichwa laki 8 viko tayari toka kwa kiduku. China akiweka vichwa 3M na urusi vichwa 1.5M kabla hawajafikia kwenye Nuclear kuhusika NATO inabakia historia tu.
 
Soma hiyo twitter hapo juu nani aliyechoka, XI yupo Moscow anataka amani yeye na Putin lakin mnyama anasema hapana waendelee
Russia hawezi shindwa kuwapiga hata hao NATO sababu kwa sasa anawakung'uta kwa mgongo wa Ukraine.
Wakikaza ubongo sana atazidisha dozi zaidi.
 
Russia hawezi shindwa kuwapiga hata hao NATO sababu kwa sasa anawakung'uta kwa mgongo wa Ukraine.
Wakikaza ubongo sana atazidisha dozi zaidi.
Alikuwa ndani sasa yuko nje huko bakhmut na kikundi chake cha kukodi taaban nafsi yake ata jesh hana
 
Mashirika ya kijasusi na usalama wa nchi kuna vipindi huwa wanawaweka viongozi madarakani kimkakati kama alivyowekwa rais wa China na Urusi. Wanaangalia nani anaweza kuwavusha ktk matatiza yanayowakabili ktk kipindi hicho. Marekani mwenyewe anayehubili demokrasia huwa anajenga urafiki na madikteta anapoona kuna maslahi

Wananchi wengi huwa hawaelewi mambo ya usalama wa nchi hivyo upiga kelele
Dictatorship countries ndio zinataka uhusiano na US zaidi, ndio maana china hafurukuti kufanya chochote ata akiambiwa Taiwan haimuhusu anatulia zake tu,
 
Hata ingekuwa wewe ungemsikiliza anayezima moto pamoja na wewe au ulisikilize lile li rafiki la muunguza nyumba yako?
Shida Sio kumsikiliza,shida ni kwamba unaamuriwa Cha kufanya na huna Cha kusema!
 
Back
Top Bottom