Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Naona sasa wameanza kifunguka, tunaposema hata zile vurugu za mwaka 2014 za kumwondoa rais halali na kumweka kibalaka Zelensky zilifanywa na mareakani mlikuwa mnabisha
 
Kwa iyo misaada ya USA unaipenda alafu unaiombea ianguke , kweli Tanzania ina watu wenye akili ndogo sana
Kwani sisi tumemlazimisha alete, kwanza analeta msaada gani, sisi misaada tunaiona ya China tu kuanzia barabara, Mashule, Miradi ya majumba, mikopo bank, miradi ya maji nk, au unazumguzia ARV
 
Putin alihojiwa na mwandish i mmoja wa habari akaulizwa .
Kwanini hii vita au operashen haikuanza 2014 ? . Akajibu wao urusi walikua bado kumalizia kujiandaa hasa kwenye mifumo ya pesa na silahà kama hypersonic missile .kwa sababu wakifanya hivyo watawekèwa vikwaxo kila aina na kama hamjajiandaa basi mtaathirika pakubwa sana. Ndio maana tumewekewa vikwazo vingi kuliko ncbi yoyote lakini bado havijatuathiri vikwazo hivyo kwa vile tulifanya maandalizi kabla . Kuhusu silaha tunazo za kutosha na zakisasa kuliko taifa lolote .
 
"John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013."

Kwa kauli hii bado mnasema wasikubali wakat tena maamuz mnawafanyia nyie muachen yeye ajue mbivu na mbichi
 
Nguvu ya marekani ya kuitawala dunia imefika mwisho na vita hii itakavyozidi kuendelea ndio itakuwa mbaya zaidi kwa marekani
 
"John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013."

Kwa kauli hii bado mnasema wasikubali wakat tena maamuz mnawafanyia nyie muachen yeye ajue mbivu na mbichi
Kwaifupi imechanganyikiwa, anajua kabisa uwezo wa kimshinda mrusi kwenye hii vita hana na vita ikimalizwa ktk hali hii ni aibu kubwa kwake. USA INATIA HURUMA SANA
 
Putin alihojiwa na mwandish i mmoja wa habari akaulizwa .
Kwanini hii vita au operashen haikuanza 2014 ? . Akajibu wao urusi walikua bado kumalizia kujiandaa hasa kwenye mifumo ya pesa na silahà kama hypersonic missile .kwa sababu wakifanya hivyo watawekèwa vikwaxo kila aina na kama hamjajiandaa basi mtaathirika pakubwa sana. Ndio maana tumewekewa vikwazo vingi kuliko ncbi yoyote lakini bado havijatuathiri vikwazo hivyo kwa vile tulifanya maandalizi kabla . Kuhusu silaha tunazo za kutosha na zakisasa kuliko taifa lolote .
Duh balaa. Tuombe Mungu vita hii iishe.
 
Kwani hakukuwa na referendums? Acha propaganda za west mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Referendum iliyojaa uchocheze wa putin aendelee kubaki madarakani, nani anapiga kura duniani kiongozi abaki madarakani milele? kiongozi wa upinzani urusi mpaka leo kamueka jela hamtoi, putin ni mfano madiktea waliokubuhu ulimwnguni
 
[emoji264] [emoji635][emoji288]Putin:"If we still decide not to extend the "grain deal" after 60 days, then we are ready to deliver all the volume that was sent to the countries in need in Africa during the previous time from Russia to these countries for free."
 
Referendum iliyojaa uchocheze wa putin aendelee kubaki madarakani, nani anapiga kura duniani kiongozi abaki madarakani milele? kiongozi wa upinzani urusi mpaka leo kamueka jela hamtoi, putin ni mfano madiktea waliokubuhu ulimwnguni
Mashirika ya kijasusi na usalama wa nchi kuna vipindi huwa wanawaweka viongozi madarakani kimkakati kama alivyowekwa rais wa China na Urusi. Wanaangalia nani anaweza kuwavusha ktk matatiza yanayowakabili ktk kipindi hicho. Marekani mwenyewe anayehubili demokrasia huwa anajenga urafiki na madikteta anapoona kuna maslahi

Wananchi wengi huwa hawaelewi mambo ya usalama wa nchi hivyo upiga kelele
 
Back
Top Bottom