Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

Hii kauri inathibitisha wazi Zelensky ni mtu aliyewekwa na US kama kibaraka kutimiza malengo ya US! Hayuko kwa maslahi ya Ukraine.
Wakati Urusi anaiba cremia Zelensky alikuwa muigizaji kama joti.
Urusi ina Options mbili iendelee kupigana ndani ya Ukrein ama niondoke ndani ya halali ya Ukraine kinyume na hapo hakuna makubaliano yoyote yatakubalika.

Kuna udhaifu Us imeuona kwenye jeshi la urusi na hawawezi kuiacha hii opportunity iliyojileta yenyewe bila kuhakikisha Urus inabaki kuwa kama Noth Korea.
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Nchi nyingi duniani hazipo huru, naweza sema 70% ya nchi zote duniani hazipo huru.

Kwa sisi watanzania tunawezaje kuwa huru kama tunapokea msaada wa kujengewa mashimo ya vyoo ?
 
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.

John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.

Chanzo cha habari kutoka akaunti ya mtu huko twitter sio cha kuaminika....porojo tupu.
 
Izo mbinu ziko wapi mkuu mbona Kyiv walitimua mbio jeshi la urusi hadi leo wako pembeni pembeni huko mbinu zao ziliishia wapi? ule msururu wa vifaru karibu 64 ukubwa wake uliishia wapi, naona vimebaki maonyesho pale Kyiv

Ivi wajua leo mvimba macho XI yuko Moscow anafanya mazungumzo ya Putin vita iishe? ni kwa sababu yeye ndio alishawishi lakini matokeo yake na matarajio yake yameenda tofauti hata yeye anaumia.,

Mbinu za Putin ilikuwa ni 72hrs tu amemaliza kazi/operation Ukrean lakini sasa mwaka anapigana nje ya bajeti na makundi ya kukodi jeshi lake lishaenda na maji nusu na robo sasa eti superwpower anatunia wafungwa vitani (Wagner Group) kwisha habari yao
 
Siku akili ikimuingia atashtuka nchi yote ni jangwa na magofu, kule middle east na Iran China kaenda kupatanisha, jana Assad baada ya kumaliza ziara yake Moscow kaenda mojakwamoja dubai, dunia hii bila ya hawa mashoga ingelikua na amani sana, huyu shetani atashindwa inshaAllah
Tumswalie mtume kijumbe muhammad.
 
John kirby - "bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington kuanzia mwaka 2013."

Taratibu dawa imeanza kuwaingia vizuri, wanaanza kusema ukweli wao wenyewe bila kushurutishwa. Kifupi, Ukraine ni USA ndogo. Na Russia haipigi Ukraine, anaipiga USA kwenye ardhi ya Ukraine.

Kama hawataki masharti ya amani alioweka Russia, wataendelea kupigwa tu mpaka akili ziwakae sawa, na mpaka wakubali!
 
Siku akili ikimuingia atashtuka nchi yote ni jangwa na magofu, kule middle east na Iran China kaenda kupatanisha, jana Assad baada ya kumaliza ziara yake Moscow kaenda mojakwamoja dubai, dunia hii bila ya hawa mashoga ingelikua na amani sana, huyu shetani atashindwa inshaAllah
Hakika sheitwani wa kwenye maandiko matakatifu ndiyo huyuhuyu USA,hakuna mwingine
 
Soma hiyo twitter hapo juu nani aliyechoka, XI yupo Moscow anataka amani yeye na Putin lakin mnyama anasema hapana waendelee
XI anawaonea huruma raia wa Ulaya kwa namna wanavyopelekewa moto na jeshi katili la Putin.

Na marekani akiendekeza fyoko fyoko atashangaa bomu limeanguka NY
 
Siku akili ikimuingia atashtuka nchi yote ni jangwa na magofu, kule middle east na Iran China kaenda kupatanisha, jana Assad baada ya kumaliza ziara yake Moscow kaenda mojakwamoja dubai, dunia hii bila ya hawa mashoga ingelikua na amani sana, huyu shetani atashindwa inshaAllah
Kwa iyo misaada ya USA unaipenda alafu unaiombea ianguke , kweli Tanzania ina watu wenye akili ndogo sana
 
Back
Top Bottom