Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Ndo nini hii,,, alafu nashangaa kwa nini mnapenda kuhusisha hii smo na mambo ya dini,, kwani huyo Putin na Russia yake waislam??? Au waislam ndo waliomwambia Putin awapige Ukraine??Tumswalie mtume kijumbe muhammad.
Hili Taifa halinaga haya yaani..Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.
John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote yanayoihusu Ukraine yamekuwa yanafanywa na Washington anzia mwaka 2013.
Yaani wanaomsupport mrusi kuna muda wanarukwa na akili kwa kujivua ubinaadam.... Putin ni Gaidi zaidi ya OsamaMtu amebadilisha katiba kwa nguvu aendelee kubaki madarakani unasema sio dikteta,
Ndio maana namwita weak imperialist(beberu dhaifu)hawezi kupambana mwenyewe bila kupitia mnyonge wake Ukraine (ila kwa Mr.Moscovischt🤔.kasha chemka😂Sasa ina uhuru gani Kama mambo yake yanaamuliwa na USA
Watu aina hiyo wamekosa maarifa ya kujitambua humu kwasababu hatujuani tu lakini ungemuona tu ungejia akili zake zilivyo kutokana na muonekano wake tuNdo nini hii,,, alafu nashangaa kwa nini mnapenda kuhusisha hii smo na mambo ya dini,, kwani huyo Putin na Russia yake waislam??? Au waislam ndo waliomwambia Putin awapige Ukraine??
Anzisha uzi wako wa maswala ya dini ila hapa ni smo Urusi vs Ukraine
Acha chuki wewe
Kaka mkubwa.Huyo ndo custodian wa amani na uhuru wa nchi dunianiKama ni nchi huru, Marekani ina haki gani ya kumpangia asikubali au kukubali chochote...
Labda urusi ya chatoWakati Urusi anaiba cremia Zelensky alikuwa muigizaji kama joti.
Urusi ina Options mbili iendelee kupigana ndani ya Ukrein ama niondoke ndani ya halali ya Ukraine kinyume na hapo hakuna makubaliano yoyote yatakubalika.
Kuna udhaifu Us imeuona kwenye jeshi la urusi na hawawezi kuiacha hii opportunity iliyojileta yenyewe bila kuhakikisha Urus inabaki kuwa kama Noth Korea.
Hata USA alitumia kundi lake la blackwaters kule Iraq. Au kipindi icho ulikua huna akili au ulikua hujazaliwa?Izo mbinu ziko wapi mkuu mbona Kyiv walitimua mbio jeshi la urusi hadi leo wako pembeni pembeni huko mbinu zao ziliishia wapi? ule msururu wa vifaru karibu 64 ukubwa wake uliishia wapi, naona vimebaki maonyesho pale Kyiv
Ivi wajua leo mvimba macho XI yuko Moscow anafanya mazungumzo ya Putin vita iishe? ni kwa sababu yeye ndio alishawishi lakini matokeo yake na matarajio yake yameenda tofauti hata yeye anaumia.,
Mbinu za Putin ilikuwa ni 72hrs tu amemaliza kazi/operation Ukrean lakini sasa mwaka anapigana nje ya bajeti na makundi ya kukodi jeshi lake lishaenda na maji nusu na robo sasa eti superwpower anatunia wafungwa vitani (Wagner Group) kwisha habari yao
Dah wee jamaa leo umetoa comment ndefu hivKama ni nchi huru, Marekani ina haki gani ya kumpangia asikubali au kukubali chochote...
Sio Ukraine tu.Nchi nyingi duniani hazipo huru, naweza sema 70% ya nchi zote duniani hazipo huru.
Kwa sisi watanzania tunawezaje kuwa huru kama tunapokea msaada wa kujengewa mashimo ya vyoo ?
Kasoro Tanzania China na Russia ndio hazipo kwenye huo mtego.Sio Ukraine tu.
Nchi nyingi hazina ubavu wa kumkazia USA.
USA anaweza kuwachagulia marafiki na maadui.
Kuna kitu hakipo sawaDah wee jamaa leo umetoa comment ndefu hiv
Sasa ulitaka amuachie nchi Shoga ili awauze kwa Wamarekani. Putin ni Raisi imara na aliye prove uwezo wa kuliongoza taifa la urusi. Alishawahi kuachia madaraka ila akarudishwa ili kukabiliana na changamoto za mashoga wa USA.Mtu amebadilisha katiba kwa nguvu aendelee kubaki madarakani unasema sio dikteta,
NATO lazma iangamie sababu kuna vichwa laki 8 viko tayari toka kwa kiduku. China akiweka vichwa 3M na urusi vichwa 1.5M kabla hawajafikia kwenye Nuclear kuhusika NATO inabakia historia tu.Kama vita hii ikiendelea na ikasambaa hadi nje ya Ukraine(ikaenda NATO) nawiwa kusema R. I. P. USA
Russia hawezi shindwa kuwapiga hata hao NATO sababu kwa sasa anawakung'uta kwa mgongo wa Ukraine.Soma hiyo twitter hapo juu nani aliyechoka, XI yupo Moscow anataka amani yeye na Putin lakin mnyama anasema hapana waendelee
Hahahahah huna aibu hata kidogo 🤣 za Covid mlibeba, za World bank mmebeba, za asasi za kiraia mmebeba mwanaume ambaye hakuchukua hela kwa mashoga ni JPM tu sababu alikuwa hawafagilii.Kukataa misaada ya fedha za mmarekani
Alikuwa ndani sasa yuko nje huko bakhmut na kikundi chake cha kukodi taaban nafsi yake ata jesh hanaRussia hawezi shindwa kuwapiga hata hao NATO sababu kwa sasa anawakung'uta kwa mgongo wa Ukraine.
Wakikaza ubongo sana atazidisha dozi zaidi.
Dictatorship countries ndio zinataka uhusiano na US zaidi, ndio maana china hafurukuti kufanya chochote ata akiambiwa Taiwan haimuhusu anatulia zake tu,Mashirika ya kijasusi na usalama wa nchi kuna vipindi huwa wanawaweka viongozi madarakani kimkakati kama alivyowekwa rais wa China na Urusi. Wanaangalia nani anaweza kuwavusha ktk matatiza yanayowakabili ktk kipindi hicho. Marekani mwenyewe anayehubili demokrasia huwa anajenga urafiki na madikteta anapoona kuna maslahi
Wananchi wengi huwa hawaelewi mambo ya usalama wa nchi hivyo upiga kelele
Shida Sio kumsikiliza,shida ni kwamba unaamuriwa Cha kufanya na huna Cha kusema!Hata ingekuwa wewe ungemsikiliza anayezima moto pamoja na wewe au ulisikilize lile li rafiki la muunguza nyumba yako?